Hawa ndio majambazi wajinga zaidi nchini Ubelgiji

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Armed robbers walk into a shop. The owner asks them to come back later when he has more money, and when they do...

It feels like the makings of a joke, but for a Belgian e-cigarette shop owner this was a frightening reality.
1540365356119.png

© BBC Six robbers walked into a shop...

Six people entered Didier's shop in the suburbs of Charleroi in daylight with the intent to rob him.

The salesman told the group to return at the end of the day, when he could give them more money. In the end though, he got them arrested instead.

"It's like it was a comedy," Mr Didier told the BBC over the phone. "They're being called the worst robbers in Belgium."
he shop owner, who did not want to share his last name, said that over the course of 14 long minutes, he tried to befriend the thieves.

"There was some pushing and shoving," Didier said. "I didn't give them a thing, but said if they came back later I would have 2 or 3,000 euros."

The group bought his bluff, and left.

"When I called the police, they didn't believe they would come back."

But back they did come at 17:30, an hour before the vape shop's closing time. Didier told local media he saw one of the robbers at the door and told them it still was not end of business.

When the robbers returned a third time, at 18:30, the police were at the back of the shop ready to catch them.

Five males were arrested, including a minor, and now face jail time for armed robbery.

=====

Majambazi wa Ubelgiji waliambiwa warudi tena - na waliporudi wakatiwa mbaroni

Wanaume sita wakiingia dukani...
Genge la majambazi liliingia katika duka moja kwa nia ya kutaka kuiba.

Mwenye duka akawaambia warudi tena baadaye atakapokua na pesa zaidi, na majambazi hao wakaitikia mwito...

Ni tukio ambalo unaweza ukalichukulia kama mzaha, lakini kwa mwenye duka mbelgiji anayeendesha biashara ya kuuza sigara mtandaoni ni tukio la kweli na la kuogofya.

Watu sita waliingia katika duka la Didier viungani mwa mji wa Charleroi wakiwa na mpango wa kumuibia.

Mfanyibiashara huyo aliwaambia wezi hao kurejea dukani hapo mwisho wa siku, wakati atakapokua na pesa nyingi za kuwapatia.

Bila kusita watu hao walirejia kama walivyoagizwa na mwenyeduka badala ya kuwapatia pesa alivyowaahidi wakakamatwa na polisi.

Akizungumza na BBC alisema "Ni tukio la kuchekesha,". " Wamepewa jina la majambazi wajinga zaidi nchini Ubelgiji."

Mwenye duka huyo anasema alitumia muda wa dakika 14 akijaribu kujenga uhusiano mzuri na wezi hao.

Didier anasema kuwa alibishana nao kidogo," "Sikuwapatia kitu chochote, lakini nikawaambia wakirudi baadaye nitakua na kama uero 2,000 ama 3,000."

Wezi hao walikubaliana na mwenye duka na kuondoka.

"Nilipowaarifu maafisa wa polisi, hawakuamini wezi hao wangelirudi."

Lakini ilipofika saa kumi na moja unusu jioni walirudi.

Didier anasema kuwa alimuona mmoja wa wezi hao mlangoni akamwambia bado hajakamilisha biashara ya siku.

Wanaume hao waliporejea saa kumi na mbili na nusu jioni, wakakamtwa na maafisa wa polisi ambao walikua wamejificha ndani ya duka hilo tayari kuwakamata.

Wanaume watano walikamatwa miongoni mwao kijana mdogo

chanzo
1540365528175.png
 
Wamefeli somo LA uhalifu;kuwafunga ni sawa na kuwaonea...
 
Back
Top Bottom