Sometimes fate inawabeba vilaza na kuwabania majembe

Nsimbi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,084
2,000
Ama kweli kazi ya Rabuka haina makosa. Humpa amtakaye na kumnyima mwingine.
Nchi nzuri amezipa viongozi wabaya na baadhi ya nchi mbaya kazipa viongozi wazuri.

Mfano ni mama Hillary Clinton. Watu walitarajia angekuwa rais wa Marekani. Lakini kwa vile haikupangwa nchi ikaishia kuwa na kiongozi kama Trump.

Kule Philippines nako wamepata rais mtata balaa. Rodrigo Duterte!!
Venezuela ni nchi tajiri wa mafuta lakini ina kiongozi wa hovyo. Nicolas Maduro!

Nchi nyingi za kiarabu zina utajiri lakini utajiri huo umekumbatiwa na koo za kifalme zisizojali haki za binadamu.

Nchi zenye mali hazina amani na zenye utulivu ni masikini.
Afrika kusini ni nchi yenye wasomi wa kutosha lakini ilikuwa chini ya Jacob Zuma ambaye hakusoma kabisa.

Mambo mengine ni lazima kuwa na neema kuyapata. Bila hivyo hayaji. Ndio maana wanawake wazuri wamepata wanaume wakorofi na wanaume wapole wameoa wake watata balaa.

Wengine wanasoma kwa bidii wengine wanasubiri kuiba mitihani. Waliofaulu na kupata vyeti wanasota wakati waliofoji vyeti wanafanya kazi nzuri.

Wakati mwingine fate huwa favor watenda maovu, wajinga ma vilaza.

Watu wangapi wanafaa kuongoza jiji la Dar. Lakini fate imetuletea Makonda. Mtu asiyefaa kuongoza jiji kama lile .
Kule Zanzibar kuna watu mahiri sana wa kuiongoza lakini fate ikamuibua Shein! Mtu wa blabla!!

Kuna majembe kibao CCM yangefaa kuwa wasemaji wa chama hicho lakini fate from no where imemleta Polepole!! Mtu asiye na mvuto wowote kwa kazi husika.

Ni fate tu ndio imempaisha Kasim kuwa PM. Kuna majembe kibao yangeweza kufanya vizuri zaidi. Jamaa ana bahati sana.

Fate imewapa baadhi utajiri huku wengine wakihangaika in vain. Wewe unahangaika miaka 21 kudunduliza Sh mil. 15 , mtu mwingine anapata Sh mil. 300 kwa siku moja kwenye bahati nasibu nk. That is what the crazy story of life is.

Fate imewapa masikini watoto huku matajiri wakifa bila watoto.
Fate imewanyima wenye akili na busara vyeo na mali ikawapa wapumbavu.
Fate imewapa uzima watu wasio na tija ikawanyima wenye mchango katika jamii. Hangaikeni kutafuta hizo riziki nk lakini tujue kufa ni lazima.

Life is very short. So ukipata live it to the fullest. Usijihamgaishe saaaaaaaaaana.

Tabu ya wengi ni kwamba wanahangaikia sana vitu watakavyoviacha hapa duniani kuliko watakavyoondoka navyo. You will surely die. At any moment! Take it easy
 
BekaNurdin

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
2,115

Hakika kila mmoja wetu lazima aondoke duniani. Fate haitaamua your final destination, mbinguni au jehanamu. Kwenda mbinguni au jehanamu unachagua mwenyewe, fate haihusiki!
 
reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,412
2,000
Umenena vizuri na umehitimisha vizuri zaid, nadharia za eti 'Mimi sasahv natafuta maisha ngoja nijitese baadae nitakula matunda' n mawazo mduara, hakuna uhalali eti ajitesae mwanzo basi mwishoe ndo afaidiye, na hakuna ulazma huo mwisho uutakao wewe uuone,
Wangap wanajitaftia wenyewe tena kwa ubinafsi na uchoyo halaf wanakula wengne?
Wangap wamezaliwa maskini wakafa maskini?
Wangap wamezaliwa matajiri wakafa matajiri?
Wangap wamezaliwa matajiri wakafa maskini?
Wangap wamezaliwa maskini wakafa matajiri?
Wangap maisha yao n ya mateso na wanakufa na mateso yao mpk unajiuliza uwepo wa mungu?

Kitu ambacho tunatakiwa tujue n kwamba maisha hayajui huruma, kwaio wewe kuish kwa mateso tena labda ya kujitakia ukitarajia huruma maisha kwa kudanganywa na wahenga imezama kwako, yan utashangaa mbona hili jamaa bata kila siku lakn maisha yanamnyookea? Na roho mbaya na fikra potofu huanzia hapa, mtu kama huyu utahisi anakunyonya, kumbe we ndo unajinyonya na sidhan kama Mola wako anataka uishi hvyo, Mwingne anaenda mbali zaid kwa kuwaza et 'ukifa kuna adhabu ya maskin na tajiri' et kisa yeye aliish kimaskin kwa kujitesa(kujitakia) basi huko sijui n mbingun sijui wap ndo zamu yake.....Hahaaaa Mzee utakula chuma kulingana na matendo ya maisha yako, eidha maovu au mabaya na si kulingana na aina ya maisha yako, eidha tajiri au maskin,
Labda uish maskin kwa kusaidia watu, lakn huna la msing ulilofanya et wewe ukafanyiwe la msing?
Mungu si Magufuli ndugu, hana mawazo ya kimaskin ndugu.
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,762
2,000
Hapo ndipo utajua ukimfuata shetani utakula mazuri ya dunia lakini ukimfuata Mungu utakula mazuri ya ahela mfano kichaa, bashite, viongozi wa Saudi Arabia n.k.
 
Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,217
2,000
Ama kweli kazi ya Rabuka haina makosa. Humpa amtakaye na kumnyima mwingine.
Nchi nzuri amezipa viongozi wabaya na baadhi ya nchi mbaya kazipa viongozi wazuri.

Mfano ni mama Hillary Clinton. Watu walitarajia angekuwa rais wa Marekani. Lakini kwa vile haikupangwa nchi ikaishia kuwa na kiongozi kama Trump.

Kule Philippines nako wamepata rais mtata balaa. Rodrigo Duterte!!
Venezuela ni nchi tajiri wa mafuta lakini ina kiongozi wa hovyo. Nicolas Maduro!

Nchi nyingi za kiarabu zina utajiri lakini utajiri huo umekumbatiwa na koo za kifalme zisizojali haki za binadamu.

Nchi zenye mali hazina amani na zenye utulivu ni masikini.
Afrika kusini ni nchi yenye wasomi wa kutosha lakini ilikuwa chini ya Jacob Zuma ambaye hakusoma kabisa.

Mambo mengine ni lazima kuwa na neema kuyapata. Bila hivyo hayaji. Ndio maana wanawake wazuri wamepata wanaume wakorofi na wanaume wapole wameoa wake watata balaa.

Wengine wanasoma kwa bidii wengine wanasubiri kuiba mitihani. Waliofaulu na kupata vyeti wanasota wakati waliofoji vyeti wanafanya kazi nzuri.

Wakati mwingine fate huwa favor watenda maovu, wajinga ma vilaza.

Watu wangapi wanafaa kuongoza jiji la Dar. Lakini fate imetuletea Makonda. Mtu asiyefaa kuongoza jiji kama lile .
Kule Zanzibar kuna watu mahiri sana wa kuiongoza lakini fate ikamuibua Shein! Mtu wa blabla!!

Kuna majembe kibao CCM yangefaa kuwa wasemaji wa chama hicho lakini fate from no where imemleta Polepole!! Mtu asiye na mvuto wowote kwa kazi husika.

Ni fate tu ndio imempaisha Kasim kuwa PM. Kuna majembe kibao yangeweza kufanya vizuri zaidi. Jamaa ana bahati sana.

Fate imewapa baadhi utajiri huku wengine wakihangaika in vain. Wewe unahangaika miaka 21 kudunduliza Sh mil. 15 , mtu mwingine anapata Sh mil. 300 kwa siku moja kwenye bahati nasibu nk. That is what the crazy story of life is.

Fate imewapa masikini watoto huku matajiri wakifa bila watoto.
Fate imewanyima wenye akili na busara vyeo na mali ikawapa wapumbavu.
Fate imewapa uzima watu wasio na tija ikawanyima wenye mchango katika jamii. Hangaikeni kutafuta hizo riziki nk lakini tujue kufa ni lazima.

Life is very short. So ukipata live it to the fullest. Usijihamgaishe saaaaaaaaaana.

Tabu ya wengi ni kwamba wanahangaikia sana vitu watakavyoviacha hapa duniani kuliko watakavyoondoka navyo. You will surely die. At any moment! Take it easy
Katika story nzima, neno "fate" limetumika almost 10x. Ili kupanua uelewa, ni vizuri ulipe neno la kiswahili.
Kiujumla hapa nimejifunza jambo kubwa sana.
 
marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
13,837
2,000
Wengine wanasoma kwa bidii wengine wanasubiri kuiba mitihani. Waliofaulu na kupata vyeti wanasota wakati waliofoji vyeti wanafanya kazi nzuri

Umenikumbusha mwajiriwa mmoja wa BOT aliyekuwa mtoto wa waziri wa elimu, alipatikana nancheti cha kufoji, sijui kesi iliishia wapi
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
15,650
2,000
Kweli mkuu, sio marekani tu hata tanzania tulikua na mtu aliye andaliwa kuwa rais ila tukaishia kuwa na kichaa. Matokea yake kila mtu anasaga meno!!
 
N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
5,165
2,000
Wenye akili mostly sio talkative and cunning hii dunia inataka wajanja wa kupepeta mdomo...hao wote uliowataja wanajua kucheza na maneno
TRUMP
ZUMA
MADURO wanajua kupepeta hao
 
stanleyRuta

JF-Expert Member
Jul 19, 2014
806
500
Hii imenikumbusha kipindi changu cha shule, nilikua muhuni sana, mtu wa mademu, pombe, kesi na walimu kila kukicha, kutoroka kwenda disko, kufanya biashara mabwenini, Chuo kutohudhuria vipindi na kila aina ya upuuzi lakini nilikua nafaulu masomo yangu.........
 
Nsimbi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,084
2,000
Fate, fate, fate. Destiny, destiny.... Hatma, hatma. Life is too short guys. Ni vyema kuchukua maamuzi mapema kwa sababu 'doomed if you do it doomed if you don't'!
You only have today. Kesho huna uhakika nayo.......
 
Nsimbi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,084
2,000
Walikuwepo wahangaikaji, wajanja, wenye kelele, wababe kuliko wewe lakini wamezikwa chini juu udongo!!! Doomed if you do it doomed if you don't ..... Take it easy
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom