Ndio mkuu
Ndio mkuu
[/LIST]
9832]Ni nchi ya kijamaaa ila kuna baridi sana uwezi wewe!
Tafadhali naomba kujuzwa kama kuna uwakilishi wa MONGOLIA hapa nchini kwetu mwenye kuujua anijuze na location please.
Si huko mkuu ndiko ambako wananchi vijijini hawajawahi kuona ngozi nyeusi kabisa? Yaana mpaka vitoto huwa vinakimbia kujificha vikiona ngozi nyeusi!! Nakumbuka awamu moja tulienda Cambodia hayo ndo yalitukuta!!Kwa nini china hiyo nchi ninayotaka kwenda kuna matatizo gani?
Si huko mkuu ndiko ambako wananchi vijijini hawajawahi kuona ngozi nyeusi kabisa? Yaana mpaka vitoto huwa vinakimbia kujificha vikiona ngozi nyeusi!! Nakumbuka awamu moja tulienda Cambodia hayo ndo yalitukuta!!