Uhusiano na pumbavu

Uhusiano na pumbavu

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,739
Reaction score
5,979
Nasoma kitabu cha Yoshua bin Sira (biblia )… ...22:7-11


7 Amfundishaye mpumbavu ni kama anayeunga vigae, ni kama anayeamsha mtu aliyelala usingizi mzito.
8 Anayeongea na mpumbavu anaongea na mwenye kusinzia, naye mwishoni atasema " kuna nini? "
9 Mlilie aliyekufa maana amepotewa na mwanga, na mlilie mpumbavu maana amepotewa na ufahamu.
10 Mlilie kwa furaha aliyekufa, kwani anapumzika; lakini kwa mpumbavu kuishi ni kubaya kuliko kufa.
11Maombolezo kwa aliyekufa ni siku saba, lakini kwa mpumbavu na ASIYEMCHA MUNGU ni siku zote za maisha yake.
 
Clip za amber uliziona mkuu? Mm ninazo
 
Back
Top Bottom