Mh Magufuli chapa kazi

Mh Magufuli chapa kazi

mti wa bib

Senior Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
138
Reaction score
120
Kuna watanzania wenye akili finyu na wasio itakia Tanzania maendeleo wanashonda jf kuandika habar za kipuuzi kuhusu Tanzania yetu na wengi Wao ni vijana ambao wamemaliza vyuo wanasubr waajiriwe kuli kujiajir wenyew,wanashinda kukufananisha na watu wa ovyo sana na kukuombea 2020 usiwe rais wa Tanzania,,,, lkn na elimu zao za matopeni nawambia hakuna rais atakaye kuja kutoke km magufuri hapa Tanzania na mtamkumbuka na akili zenu ndogo,,pigeni kaz sio na hapa ni kaz tu..
 
Duh!!! mbona Membe kawa Tishio kiasi hiki mpaka mashabiki kuanza kulia lia hapa mitandaoni.
 
Kuna watanzania wenye akili finyu na wasio itakia Tanzania maendeleo wanashonda jf kuandika habar za kipuuzi kuhusu Tanzania yetu na wengi Wao ni vijana ambao wamemaliza vyuo wanasubr waajiriwe kuli kujiajir wenyew,wanashinda kukufananisha na watu wa ovyo sana na kukuombea 2020 usiwe rais wa Tanzania,,,, lkn na elimu zao za matopeni nawambia hakuna rais atakaye kuja kutoke km magufuri hapa Tanzania na mtamkumbuka na akili zenu ndogo,,pigeni kaz sio na hapa ni kaz tu..
Ulivyoandika tu unaonyesha bora hata ya hao uliowaita wa matopeni, kwani angalau wanajielewa na kuhoji.
Kuwa na Rais mzuri siyo kuwa asipate changamoto wala kuonyeshwa madhaifu yake !!!!. Maghufuli anayafanya hayo baada ya watangulizi wake kuambiwa madhaifu yao. Hatutaki naye akarudia makosa ya kibinaadamu bila kuelezwa.

Ukiutaka uongozi ukubali na changamoto za uongozi. Nchi hii ni ya kidemocrasy, si ya kifalme. After all Rais wetu ni binaadamu na c Mungu
 
Jobless hatuzidi 2000.

Tbc ilisema ajira nyingi zimemwagwa na unemployment rate imepungua kwa kasi.

Hivyo asiwazie maana kura zetu hazina mchango, ni chache mno.
 
Kuna watanzania wenye akili finyu na wasio itakia Tanzania maendeleo wanashonda jf kuandika habar za kipuuzi kuhusu Tanzania yetu na wengi Wao ni vijana ambao wamemaliza vyuo wanasubr waajiriwe kuli kujiajir wenyew,wanashinda kukufananisha na watu wa ovyo sana na kukuombea 2020 usiwe rais wa Tanzania,,,, lkn na elimu zao za matopeni nawambia hakuna rais atakaye kuja kutoke km magufuri hapa Tanzania na mtamkumbuka na akili zenu ndogo,,pigeni kaz sio na hapa ni kaz tu..

KWAHAYA MANENO ULIYOANDIKA INANIFANYA NIAMINI KUWA KUNA GPA YA 32 TZ
wanashonda
habar
wanasubr
kuli kujiajir
wenyew
rais
magufuri

kaz
 
Msiiiiiiiiiieeeeeeeew mshaurini akatishe kipindi 2020 ....tumemchoka huyo mtu wenu mpaka tunakaribia kumtapika
 
Nchi inapitia kipindi kigumu sana kwa kuishi na kundi lenye kuleta hasara tokea Tz iwepo, kundi la wavivu na wazinzi ambalo kama taifa linatuletea hasara kuwahudumia na kuwasomesha.

Vijana 80% wa Tz ni kundi mzigo na la hasara kuwahi kutokea.
 
Back
Top Bottom