The Akasha family at it End in the US court.

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,003
Familia ya kitajiri ya Wakenya wenye asili ya Kikenya,
Imetiwa nguvuni na mamlaka za kisheria nchini Marekani kutokana na kesi za kujihusisha na biashara kubwa za madawa ya kulevya na Pembe za ndovu.

Wanandugu hao pia wanahusishwa na utekaji nyara na mauaji ya mfanyabiashara maarufu nchini Afrika ya kusini.

Nchini Kenya,kwa msaada wa wakili wao na majaji wa mahakama za juu,wafanyabiashara hao wamekuwa wakifanikiwa kuvunja sheria na kuwa huru kwa kesi zote ziklizo wakabili,hii ni kutokana na rushwa kubwa walizokuwa wakizitoa kwa mamlaka za kisheria nchini Kenya.

Mahakama nchini Marekani zimewafungulia mashtaka majaji wawili wa mahakama za juu nchini Kenya pamoja na mwanasheria wa familia hiyo kwa kushiriki kuhalalisha vitendo viovu vilivyofanya na wanandugu hawa.View attachment VID-20181028-WA0001.mp4
 
Familia ya kitajiri ya Wakenya wenye asili ya Kikenya,
Imetiwa nguvuni na mamlaka za kisheria nchini Marekani kutokana na kesi za kujihusisha na biashara kubwa za madawa ya kulevya na Pembe za ndovu.

Wanandugu hao pia wanahusishwa na utekaji nyara na mauaji ya mfanyabiashara maarufu nchini Afrika ya kusini.

Nchini Kenya,kwa msaada wa wakili wao na majaji wa mahakama za juu,wafanyabiashara hao wamekuwa wakifanikiwa kuvunja sheria na kuwa huru kwa kesi zote ziklizo wakabili,hii ni kutokana na rushwa kubwa walizokuwa wakizitoa kwa mamlaka za kisheria nchini Kenya.

Mahakama nchini Marekani zimewafungulia mashtaka majaji wawili wa mahakama za juu nchini Kenya pamoja na mwanasheria wa familia hiyo kwa kushiriki kuhalalisha vitendo viovu vilivyofanya na wanandugu hawa.View attachment 913550
Umenikumbusha enzi zile za Mwinyi kamasijakosea lori moja la familia ya Akasha lilipokutwa na mzigo ulionona wa madawa ya kulevya Temeke Dar es Salaam, gari hill aina ya FIAT lilisheheni madawa hayo ndani ya tangi kubwa la bandia la mafuta ambalo lilikuwa limezibwa kabisa hivyo kusababisha lipasuliwe, baada ya hapo abracadabra ziliendelea na Akasha maisha yakaendelea.
 
Nikweli mkuu,enzi hizo hapa jukwaani wengi walikuwa vijana watoto wadogo,wenye habari zaidi waendelee kutupapatulia hapa.
 
Back
Top Bottom