Nilipoisoma sikuvumilia kutotatizika akili yangu
Nimeumia!
Nimeona tukio hili la kushtua la Mang'ula, Morogoro. Polisi walienda nyumbani kwa mtuhumiwa wa ununuzi wa kitanda cha wizi, wakamkosa...
Neno Dunia,halina tofauti sana na neno Gunia,
ni Herufi moja tu iliyotofauti na mwenzake
D G
Dunia
Mwanzo wake ni mchungu
na mwisho wake ni mchungu
Maisha yako,yamezunguukwa na Machungu...
Dar es Salaam. Baada ya kuunganisha mifuko minne ya hifadhi ya jamii Serikali imetoa kanuni mpya zinazozuia fao la kukosa ajira.
Kwa mwanachama atakayeachishwa kazi, kanuni zinasema atalipwa fao...
30 Oct 2018
Dar es Salaam, Tanzania
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, mkoani Dsm Bi.Sophia Mjema amewataka watumishi wanaowahi kutoka Ofisini pindi inapofika saa 9 alasiri waache tabia hiyo, badala yake...
Salama wote
Leo napenda niongelee japo kwa ufupi sana kwa namna gani Tanroads ndio chanzo cha foleni Hasa dar yenye magari mengi.
Sababu ninazo zitoa zinamwelekeo wa kiufundi hasa katika design...
RC HAPI APOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI MRADI WA MAJI PAWAGA-IRINGA
Mkuu wa Mkoa wa Iringa ameagiza kuchukuliwa hatua kwa wahandisi wote waliomdanganya kuhusu taarifa za mradi wa Maji wakati akiwa...
Muheshimiwa waziri kuna jambo linakela sana,mtu anavuta sigara uku anatembea,anawaambukiza wengine magonjwa pasipo sababu,tunaomba kuwe na sheria kali zidi ya wanaovuta sigara wakiwa wanatembea...
Kwanza poleni kwa matokeo ya Stars ya jana huo ndo mpira nao wakija kwetu tutawapiga tu hamna namna.
Nikiri nina zaidi ya mwaka na nusu tangu niondoke Arusha , sasa nipo Arusha nimeshangazwa na...
Hello JF,
Vyakula kama mchele,unga wa mahindi/ wa ngano/ugali na makande..
Ndio vyakula vyetu,
ila hivi vyakula vinatuua taratibu,
Vinasababisha unene na magonjwa ya moyo /kisukari...
Wakuu hamjambo,,
Mimi niko mkoani Mbeya, nimejifunza kitu kimoja kwamba tunapaswa kuzifanyia utafiti habari tunazozipokea kutoka vyanzo tofauti.
Jana nilipokea simu kutoka kwa ndugu mmoja ambaye...
Habari wakuu,
Serikal ya JPM imetenga zaid ya bilion 6 kuchimba visima na kusambaza maji kutoka ziwa victoria wilayani Chato mkoani Geita
Source: ITV
=======
Serikali imetenga fedha zaidi ya...
Jana usiku tulikuwa kwenye sherehe ya Harusi pale Isamilo Lodge. Ilipofika muda wa saa tano na nusu ghafla umeme ukakatika. Nilitumaini kwa hadhi ya hoteli kama ile kungekuwa na jenereta ya...
Wana jamvi, Naomba tutafakari kauli hizi za RC Antony Mtaka na waziri MWIJAGE walizozitoa ziku ya kufunga Maonesho ya SIDO mkoani Simiyu 28/October 2018.
*RC MTAKA:* Profesa Bisanda alituambia...
Naam, yamefanywa mengi na mwenye mkoa wake bwana BASHITE. kuanzia kutafutwa wauza unga mpaka watoto waliotelekezwa na wazazi wao. lakini haya yote hatupewi mrejesho wa mafanikio yake. limekuja la...
Jamani huku mtaani hali tete sana,
1. Biashara imekuwa ngumu sana, mauzo yameshuka kwa zaidi ya 60%
2. Kuna watu wanapita bila huruma wanadai kodi za halimashauri (services levy)
Naomba kuuliza...
Kulikuwa na duka Kuubwa la Vyakula na Vinywaji katika mji. Panya Wengi waliishi katika duka hilo la vyakula na vinywaji. Chakula kilikuwa ni kingi sana kwa ajili yao. Walikula kila kitu na...
Rais Magufuli amemteua Profesa Humphrey Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume hiyo kuanzia leo Oktoba 30, 2018
Prof. Moshi ni Mhadhiri Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)
Chama cha Mapinduzi ccm kata ya Themi,Mkoa wa Arusha kimepata pigo kufuatika kifo cha Mwenyekiti wake wa Mtaa Polisi line, Dionis Msele aliyefariki dunia oktoba 23 mwaka huu jijini Dar es salaam...
JIJI LA TANGA NA MKOA WAKE KWA UJUMLA MCHAWI WAKE NI NANI?
Ukiwa hujawahi fika katika mji huu ukisikia stori zake unaweza kuvutika hasa katika mpangilio wa barabara, suala la kusadikika la...