Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Muheshimiwa waziri jana nimemsikia akijigamba kwenye tv kwamba hakuna shida ya umeme nchini, mitambo yote inafanya kazi vizuri na mabwawa yote yana maji ya kutosha!! Je hajui kama dar es salaam...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtanzania Kema Salum amehukumiwa kifungo kisichopungua miaka 23 jela nchini Uingereza baada ya kukutwa na hatia ya kumuua Mke wake kwa kumchoma na kisu. ---- Kema Salum, 39, admitted killing...
3 Reactions
57 Replies
10K Views
Mimi na wewe kijana mwenzangu, maisha ya saizi ni kama tunavyoona kila kona kumejaa uchafu mbalimbali pendwa kwa vijana.. Babu na Bibi zetu walikua wakitumia muda wao kutupa hadithi mbalimbali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mtaalamu wa Kilimo Biashara mkoani Mbeya, Robart Mwaluseke amewataka wakulima kuacha mazoea ya kuhifadhi mazao wakisubiri bei ipande ana badala yake amewashauri kuuza kwa bei yoyote wanayoona...
0 Reactions
3 Replies
693 Views
Ndugu zangu poleni kwa majukumu Naomba niende kwenye point moja kwa moja. Wiki kadhaa zilizopita nilifanikiwa kuwa katika mkoa wa Manyara wilaya ya Babati mjini. Baada ya kusikia matangazo mengi...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Salaam, Wakuu tujuzane kuhusu kuzitambu hizi pesa bandia. Jana kuna raia kanipa, akihitaji bidhaa ya Tsh 500, Haraka nilimuonya aache huo ujanja, Alishangaa, nikamwambia fedha hyo si halali...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu habali za huko tanzagiza! Poleni Sana na majukumu ya kuisoma Namba, tangu nilipotia miguu hapa bondeni namshukuru Sana Mungu napambana si mchezo kuhakikisha naludi Bongo kifua mbele, maisha...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Nipo hapa NIDA Gongo la mboto makao makuu yao, cha ajabu nimefika saa nne nimekuta watu kibao wanaambiwa waje kesho sababu hakuna umeme. Wanavyosema Jumanne na Jumatano huwa hawana umeme kwa hiyo...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu Habari za usiku nimekaa na kuwaza sana juu ya hawa Masheikh wetu ambao tumekuwa tukiaminishwa kwamba uchunguzi wa kesi yao bado haujaisha Je wachunguzi wa mambo Kuna dalili yoyote ya hawa...
5 Reactions
64 Replies
8K Views
Nianze kwa kuwasalimu wana jamvi! Natumah mu wazima wa Afya! Nchini Tanzania Mhimili wa Mahakama umekuwa ni mhimili ambao kila anae fikishwa mahakamani huwa anakuwa na amani na iman kuwa HAKI...
0 Reactions
1 Replies
858 Views
Nomba mamlaka zinazohusika zibadilishe majina haya yasiyipendeza kwa nchi nzima.Kwenye mitaa,vijiji,vitongoji,kata,tarafa n.k kwa sababu yana ukakasi hayapendezi na mengine yasikitisha ,tunaweza...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Humu jukwaani kuna wajuvi wengi sana Niko na jamaa yangu kaokota hiki kifaa hapa alafu kinahema kwa mbali sijui madini gani haya mwenye ambaye anajua atuambie basi,
2 Reactions
49 Replies
5K Views
nimemiss sana kuyasikiliza japo yalikuwa yanatutia uvivu lakin now nayatafuta sn, sijajua kama nikienda Radio TZ kama wanaweza kunipatia, au kuna mtu yyt anayejua yanapatikana wapi now, bila...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Millard Ayo wewe ni kijana mbunifu na mwenye kuheshimika na jamii lakini kuwa makini kuna magroup ya whasap ya video za ngono na picha za ngono yanatumia brand yako ya millard ayo sasa je ni kweli...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Well,... Kenya wanatupiga gap (Kwa maoni yangu), wana-establish Konza City na wana initiatives mbalimbali za kuhakikisha wanaendana na kasi ya ukuaji wa teknolojia. Rwanda ndo usiseme, wako...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mpaka sasa hakuna mfuko wowote uliowalipa wastaafu mafao yao ya mwezi Sio ppf wala nssf Kunatatizo gani wakuuu Maana tarifa zisizo rasmi kutoka ssra zinadai kua watalipwa January 2019...
4 Reactions
43 Replies
5K Views
Siasa Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika taifa, mji au hata dunia nzima (siasa ya kimatatifa). Sehemu muhimu ya siasa ni majadiliano kati ya watu mbalimbali wenye nguvu au mamlaka. Katika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkazi wa morogoro Abubakari Mbaya (22) anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani pwani kwa tuhuma za kukutwa amevaa sare z jeshi la wananchi Tanzania JWTZ wakati yeye akiwa si askari wa jeshi ilo...
2 Reactions
49 Replies
9K Views
Uteuzi Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Sophia Kongela kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Wakati huo huo...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
JESHI la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) wamefanikiwa kukamata kiwanda cha kutengeneza Pombe kali ambacho...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…