Mauaji ya mwandishi kashoggi turkey. kazi za kuajiriwa sio.. wauaji wanarukwa na ma bosi wao

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,568
2,000
habari wadau..

najua wale wapenzi wa news wanajua seke seke la mwandishi kashogi aliyeuwawa kwenye ubalozi wa saudi arabia uliopo uturuki..

wauaji wote 15 ni wafanyakazi wa usalama wa taifa wa saudi arabia.. na inasemekana walitumwa na kiongozi wa nchi ya saudi arabia wamuue mwandishi huyo ambaye anaipinga sana serikali yao...

wauaji hao walifanikisha hilo vizuri kabisa kwa kusaidiwa na serikali yao.. ambapo balozi wao aliwapa msaada mkubwa kuhakikisha anamseti mwandishi kashoggi aje ubalozini.. wakamuua...

na waliandaa plan nzuri sana ya kumtafuta mtu anaefanana na kashoggi na wakamvalisha nguo zake na ndevu zake ili atoke ubalozini kuonesha kashoggi ametoka mzima...

kosa moja la kizembe ni huyo body double agent anaefanana na kashoggi halisi kushindwa kuvaa viatu vya kashoggi.. na kuvaa viatu vyake wakati anatoka akijifanya yeye ni kashoggi.. na cctv za majirani zikamdaka... na hapo wakati anaingia ubalozini cctv za majirani zilimdaka yeye alivyovaa na kashoggi halisi wakati anaingia ubalozini nazo cctv za jirani zilimrekodi...

mwanzo serikali ya saudi arabia ilikuwa upande wao kupinga kashoggi alitoka mzima kabisa na ushahidi upo...

cctv zilivyotolewa viatu vikawa tofauti.. kuona hivyo serikali ya saudia imewaruka timu ya watu 15 na kusema wao ndio wamemuua hawajawatuma na kama punishment wapewe wao...

imagine mkuu wa usalama wa taifa, mlinzi wa rais anarukwa na serikali yake... kisa msala... serikali iwasafirishe kwa ndege ya kukodi asubuhi.. na baada ya mauaji iwarudishe.. iwape per diem, na bado inawaruka wanyongwe peke yao

kazi za watu sio zama hizi

Saudi Arabia calls Khashoggi killing 'grave mistake,' says prince not aware | Reuters
 
Juma chief

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
2,641
2,000
Tena hao washkuru mungu wamekamatwa..lakini kiutaratibu ufeliji mkubwa secret mission kiasi hicho wenye kuliingiza taifa ktk migogoro ya kidiplomasia huku taasisi nyeti kama hiyo ikitajwa...
Hao wengashaundiwa the teamwithin..haraka sana kisha wote wakafyekelewa mbali kwa uzembe walioufanya.. lakini wameshindwa kujipanga. Kiasi kila leo udhaifu wao unazidi kujibainisha....

Suala la kurukwa kwa watumishi wa idara hiyo ni la kawaida ktk nyanja za utendaji wao...
 
wanauwawa kimya kimya... kuna mmoja ameshauwawa huko saudi arabia.. amekufa kwa ajali ya gari.. japo wanasema ajali imepangwa kupoteza ushahidi.. wanawauwa mmoja mmoja hadi 15 waishe.. maana wakiwa hai serikali itaumbuka kama kweli walifanya
 
ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,592
2,000
A covert operation is a military operation that's intended to conceal the identity of or allow plausible denial by the sponsor. They knew what they were signing up for!
 
namvumi king

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
730
1,000
Hao majasusi wa saudia hawana ujuzi
KGB wanakupiga polonium tu unakufa taratibu bila kelele duniani hapa
 
Bwai

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
724
500
Wamelikosea sana taifa lao hadi limeingia kwenye mgogoro mkubwa kiasi hicho, na tena hawajaitumia vyema taaluma yao ambayo taifa liliingia gharama kubwa kuwasomesha na kuwaendeleza kimbinu kwa maslahi ya taifa. Wanastahili adhabu ya kifo kwa uzembe wao na hicho ndicho kiapo cha kazi ya shushushu.
 
Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
3,222
2,000
kosa moja la kizembe ni huyo body double agent anaefanana na kashoggi halisi kushindwa kuvaa viatu vya kashoggi......nazo cctv za jirani zilimrekodi... apa huwa nawazaga waeza fanya jambo ukadhani huonekani KUMBEEE waonekana

......kwa tukio kufanyika ubalozini...?? bora mtaani
 
hawakuwa makini kujua kwamba kuna cctv za majirani..
wao walizima za ubalozi tu... na viatu hakuvaa sababu havikumtosha.. akajua acha avae vyake tu hakuna atakaegundua mambo ya viatu
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,528
2,000
habari wadau..

najua wale wapenzi wa news wanajua seke seke la mwandishi kashogi aliyeuwawa kwenye ubalozi wa saudi arabia uliopo uturuki..

wauaji wote 15 ni wafanyakazi wa usalama wa taifa wa saudi arabia.. na inasemekana walitumwa na kiongozi wa nchi ya saudi arabia wamuue mwandishi huyo ambaye anaipinga sana serikali yao...

wauaji hao walifanikisha hilo vizuri kabisa kwa kusaidiwa na serikali yao.. ambapo balozi wao aliwapa msaada mkubwa kuhakikisha anamseti mwandishi kashoggi aje ubalozini.. wakamuua...

na waliandaa plan nzuri sana ya kumtafuta mtu anaefanana na kashoggi na wakamvalisha nguo zake na ndevu zake ili atoke ubalozini kuonesha kashoggi ametoka mzima...

kosa moja la kizembe ni huyo body double agent anaefanana na kashoggi halisi kushindwa kuvaa viatu vya kashoggi.. na kuvaa viatu vyake wakati anatoka akijifanya yeye ni kashoggi.. na cctv za majirani zikamdaka... na hapo wakati anaingia ubalozini cctv za majirani zilimdaka yeye alivyovaa na kashoggi halisi wakati anaingia ubalozini nazo cctv za jirani zilimrekodi...

mwanzo serikali ya saudi arabia ilikuwa upande wao kupinga kashoggi alitoka mzima kabisa na ushahidi upo...

cctv zilivyotolewa viatu vikawa tofauti.. kuona hivyo serikali ya saudia imewaruka timu ya watu 15 na kusema wao ndio wamemuua hawajawatuma na kama punishment wapewe wao...

imagine mkuu wa usalama wa taifa, mlinzi wa rais anarukwa na serikali yake... kisa msala... serikali iwasafirishe kwa ndege ya kukodi asubuhi.. na baada ya mauaji iwarudishe.. iwape per diem, na bado inawaruka wanyongwe peke yao

kazi za watu sio zama hizi

Saudi Arabia calls Khashoggi killing 'grave mistake,' says prince not aware | Reuters
2020 au 2025 tutashuhudia kina bashite wanavyorukana
Lizaboni
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,114

Hata hawa wanaotumika hapa iko siku watatelekezwa , shetani hajawahi kuwa na rafiki .
 
Merchante

JF-Expert Member
May 9, 2017
385
1,000
Makosa mawili makubwa ambayo aliyafanya huyo Body Double Agent ni kutokuvaa viatu vya Kashoggi(huenda alisahau au havikumtosha),pia kudharau au kushindwa kubadili suala la mwonekano wa nywele za kichwani.

Hili jambo acha tuone mwisho wake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom