Tunajikaanga kwa mafuta yetu wenyewe

Tunajikaanga kwa mafuta yetu wenyewe

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Kipindi hiki tumesikia viongozi wetu wakihangaika na utovu wa nidhamu kwa watu wanaotenda mambo tofauti na utaratibu. Hakika kile wanachopambana nacho - wako sahihi.

Lakini binafsi naona juhudi zao ni kama wanapambana na matawi badala ya kupambana na mizizi / mzizi mkuu.

Utovu wa nidhamu ni suala linaloanzia utotoni. Watu wanaona ufahari kuwapeleka watoto wadogo shule za bweni ili hali hawafuatilii ni mambo gani yanaendelea huko kwenye hizo shule.

Watoto wengi wanajifunza tabia chafu mapema wakiwa mashuleni. Bora tujidhatiti kufundisha somo la KUJITAMBUA kuliko kuangaika na matukio yanayosababishwa na KUTOKUJITAMBUA.

Ni hayo kwa leo.
 
Back
Top Bottom