Kaisari
JF-Expert Member
- Nov 13, 2012
- 3,636
- 3,046
Nyie watu wa Voda ,. Samahani mnaweza kuondoa hii mnaita tuzo point kwenye simu yangu ????
Naona usumbufu mkubwa Sana na sioni faida yake.
Kwa kweli Ni kero kubwa Sana kwangu .
Tafadhalini nisaidieni to kabisa sitaki kwenye simu yangu. Siutaki sitaki SITAKI.
Kila napofanya muamaka kina kuja ki sms Cha Nini ????
Halafu eti Nina tuzo 3983. Thamani yake shs 276. Kweli ujinga huu ndiyo unisumbue sms kila SAA. No non no. Toa. Sijawahi kuchukua point hata siku moja halafu eti 276. Toeni.
Mwanzoni ilikuwa shinda gari !!!!!!
Sijui alipewa nani hilo gari. Mnatuchosha.