Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,201
Ngoja nitie neno kidogo hapa japo siyo moja kati ya mada ninazopendelea sana kuzipost hapa jukwaani kutokana na mahudhurio hafifu ya wachangiaji kwa kutokuwa interest sana na mambo muhimu kama haya,
Ni jambo dogo lakini linaweza kuwa na mantiki kubwa sana, unakuta mzazi ana mtoto wa kiume ni mdogo kiukweli lakini tangu nursery mtoto anasomeshwa shule za hosteli tena ni zile za boys boys pekee
Yaani mtoto kuonana na mademu mpaka apate likizo tena demu mwenyewe ni beki tatu pekee unategemea nini?
Mtoto anaanza kujifunza ufuska huko shuleni na wenzake wanapoenda kuoga kushikana shikana mwisho wa siku anapigwa kitu,
Ushoga unaanzia huko wanakosomea ila mtahani wanakuja kuliendeleza tu libeneke lao
Tusiige uzungu ,wazungu ndio walioleta haya,mzazi ata kama una pesa kiasi gani epuka kumjengea mwanao mazingira yatakoyomfanya ajione tofauti na watu wa jamii nyingine,
Mfundishe maisha ambayo yatakuwa fundisho kwake leo na ata kesho ukiwa haupo,
Jaribu sana kumfanya ajione sawa na wengine yaani mchanganye kwenye jamii achana na kulea lea watoto ndani kama kuku wa broiler,
Matokea ya kumlea mtoto kimayai mayai huwezi kuyaona leo ,
Cc Zero IQ