Leo ilikuwa siku ya maadhimisho ya ziwa Victoria cha ajabu wananci wa jiji la mwanza wamesusia maadhimisho hayo kulikuwa hakuna watu kabisa
Waliokuwepo ni waalimu(hawa ndio watu wajinga zaidi...
Sisi Wananchi wa Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba tuna malalamimo juu ya upatikanaji wa Vyeti vya Kuzaliwa katika Ofisi ya Uwakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii, ukihitaji...
Wanasema mwenge wa uhuru ni alama ya taifa yenye kuleta matumaini, mshikamano na kuhamasisha maendeleo.
Pia huhamasisha mapambano dhidi ya maradhi, ujinga, umasikini, rushwa, na kuimarisha amani...
Umewahi kujiuliza kwanini kuna watu kila wakigusa jambo linafanikiwa, na kuna wengine kila wakijaribu wanagonga ukuta? Siri kubwa haipo kwenye bahati, bali ipo kwenye sumaku iliyojificha ndani ya...
Unajua, sehemu kubwa ya fahari ya jamii yoyote duniani hutokana na vitu walivyovibuni au kuviumba wao wenyewe. Waarabu walitoa mchango mkubwa kwenye mfumo wa namba, wazungu wameunda teknolojia na...
Vyuma hivi hata uvipake oil chafu haviwezi legea
Chuma cha kwanza Kwa sisi tunaoishi uswahilini ni shule za msingi za serekali, hizi shule sasa wazazi tunawatumikia walimu bila kujua kibri hichi...
KanKanuni ya Kwanza
Kutojihurumia
Bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwahubiri wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa.
— 1 Wakorintho 9:27
Watu wengi ambao wamekuwa na...
Hili ni wazo tu,mamlaka zetu tukufu zione jinsi gani tutaweza kujiunga mitandaoni kwa kutumia NIDA namba,and then mtandao wenyewe uka translate jina la muhusika halisi hii itasaidia sana kuwabaini...
Mara ya mwisho nilikutana nae kwenye kijiwe chake cha wavuvi camp" fish point, huyu hakuwa Rafiki tu Bali alikuwa classmet wangu chuo kikuu.
Tukiwa wavuvi camp,A.K.A Fish point uku tukiwa...
Nawashukuru sana Arsenal baada ya miaka 22 kusubiri hadi kuwa mabingwa wa kombe lenye hadhi kubwa ulimwenguni la EPL (ENGLISH PREMIER LEAGUE)
Nimefurahi mnooooo!
Arsenal imechukua ubingwa...
Baada ya taarifa kutoka Mwanza ya kuwa kijana ameuliwa na mabaunsa wa Bar, nimeona nitoe elimu kidogo ambayo haitolewi popote
Hii ni elimu ya mtaa
1. Bar sio sehemu ya watu wanyonge.
Ukijua wewe...
Nachingwea tuna shida ya maji sana, yaani wapo kimya maji hayatoki, Almost two weeks sasa, Yaan yakitoka ni ndoo 6 yamekata.
Nachingwea Kata ya Ugawaji maeneo ya Shule ya Msingi Majengo polisi...
TCRA ndio inatulea hivi, wanao present mambo ya maana media zao zinapewa onyo na kufungiwa, haya sasa leo EFM wanahamasishana kuwa wakifika kwenye Marathon ya tarehe 20 June wakishamaliza kukimbia...
Mpendwa Rio,
Kuwasili kwako nchini Tanzania kumeleta msisimko mkubwa sana miongoni mwa mashabiki wa mpira wa miguu kote barani Afrika. Kama nguzo ya michezo duniani, sauti na uwepo wako vina...
Assalam alaykum.
Tujikumbushe fadhira za kuwatendea wema wazazi wetu
Katika Uislamu, baada ya haki ya Mwenyezi Mungu ﷻ, hakuna haki kubwa kuliko haki ya wazazi wawili. Kuwatendea wema wazazi ni...
Nimepata safari ya dharula kwenda Tanga nataka nitumie usafiri wa basi kutoka hapa Dar kwenda huko.
Kinachonishangaza ni kukosa huduma ya tiketi ya mtandaoni.
Ina mana ukitaka kwenda Tanga...