Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aliyekuwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kisangura wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara, Emmanuel Nyakitare, (15), amefariki baada ya kukatwa mguu kwa panga na mwanafunzi mwenzake wakiwa wanachunga...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimeona niulize hili swali kwasababu kwa hiki kipindi tulichonacho nimeshindwa kuelewa vibao vya 50km/h vina kazi ipi kati ya ukasanyaji wa mapato na kuimarisha usalama wa wenda kwa miguu...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
kuna wakati huwa naamini huenda viongozi wakuu wa serikali hawana taarifa juu ya huduma ya hovyo kutoka TANESCO; Inakuaje mimi naweza kuzalisha tofali idadi kubwa kungoja wateja, lakini TANESCO...
20 Reactions
63 Replies
5K Views
Itifaki imezingatiwa kwa sheria za JF. Kutokana na fyagio la chuma kwa watumishi wa vyeti feki na kushuka kwa uwendeshaji wa baadhi ya makampuni , umenikumba mpaka mimi kwasasaivi inafikia mwaka...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Imeripotiwa kutoka huko Babati kuwa uwekezaji wa thamani karibu ya milioni 300 umeharibiwa. Tukio hili imetokea katika kijiji cha Sangaiwe, eneo la Magugu wilayani Babati, Mkoa wa Manyara...
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Wana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi.... Tanga ni mkoa ambao sio ya kwamba umekufa Bali unazidi kudidimia na...
8 Reactions
207 Replies
30K Views
Msanii Amber Rutty na mpenzi wake wamefikishwa mahakama ya Kisutu wakisubiri kusomewa mashtaka yanayowakabili Amber Rutty amesomewa mashtaka mawili, moja la kukubali kuingiliwa kinyume na...
8 Reactions
155 Replies
46K Views
Ningejua sanduku lililo tunza hati ya dunia lilipo.. Ningeikwapua hati nikukabidhi wewe... Muunganiko wa hizi herufi unaotengeneza Maandishi yenye ujumbe uliotukuka.. Na birthday hii naitoa Kama...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa utafiti mdogo niliofanya ndani ya miezi hii mi 2 ajali zaidi ya 5 zimetokea zikihusisha magari ya SU, STK, STJ na DFP mengi kati ya magari haya yamepata ajali usiku na yanaendeshwa na madereva...
20 Reactions
185 Replies
29K Views
Mkaziwa Kijiji cha Mbesa Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma Bw.Abdala Mwaisabila amepambana na chui na kufanikiwa kumuua. Kijana huyo alipambana na Chui Huyo baada ya kuvamiwa wakati akiandaa Shamba...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Zitto aliposhikiria bango kuhusu matumizi ya Tilion 1.5, serikali na mawaziri wake walimbeza, mpaka mkuu wa nchi akamuuliza CAG technically akijua kuwa atajibu hapana. Leo kumbe Gavana wa BOT na...
12 Reactions
49 Replies
6K Views
Apple chief Tim Cook: 'I'm proud to be gay' 30 October 2014 | BBC Mr Cook said he made his announcement to try to help people struggling with their identity Apple chief executive Tim Cook has...
0 Reactions
278 Replies
49K Views
Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini wilaya ya Kilosa imepewa dhamana ya kusimamia matengenezo ya barabara za wilaya ya kilosa. Meneja wa Tarura Injiniya Sawake na msaidizi wake Injiniya Munyanga...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Asilimia kubwa ya wakaazi wa Dar wanaishi maisha Substandard sana kuliko sisi wa mikoni licha ya wao kuwa na Amenities nyingi kama Huduma za afya, Elimu nzuri, maeneo ya biashara na nyingine...
28 Reactions
86 Replies
6K Views
Duniani tunatofautina sana kuna wengine wanakomaa kutafuta pesa, Wengine wanakomaa kutafuta nguvu za kiume, Wengine wanakomaa kutafuta six pack na wengine wanakomaa kutafuta kick . Je wewe...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Kanisa Katoliki leo linaadhimisha miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara ambapo ibada maalum ya maadhimisho hayo inafanyika Bagamoyo mkoani Pwani na Rais Magufuli ni sehemu ya waumini...
6 Reactions
45 Replies
8K Views
Nakumbuka Rais Kikwete alipoulizwa msimamo wa Tanzania kuhusu Mashoga, alizungumza kidiplomasia kwamba Watanzania bado hawajawa tayari kuhusiana na mambo hayo. Naye aliyekuwa Waziri wa Mambo ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ugonile bandugu! Kusomea udsm ni zaidi ya watu wafikiriavyo katika taifa hili. Kusomea Udsm ni moja tiketi ya heshima katika taifa letu hasa kwenye ishu za elimu. Maisha ya mtu aliyesomea Udsm...
15 Reactions
196 Replies
18K Views
Hivi karibuni nasikia RC wa Dar ametangaza kuanza kuhangaika na mashoga. Nimejiuliza maswali mengi: 1) Hivi RC hana kazi nyingine zilizo muhimu zaidi ya kuhangaika na mashoga? 2) Hivi matatizo...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamvi ningependa tuwe objective tujadili hili swala ushoga iwapo ni haki ya binadamu ama la! In principle tulipokuwa tunafundishwa sheria za haki za binadamu tuliambiwa kwamba human rights...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…