Ushauri unaitajika nataka kuwa Konda wa Daladala.

Kibereko

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
383
Reaction score
908
Itifaki imezingatiwa kwa sheria za JF.

Kutokana na fyagio la chuma kwa watumishi wa vyeti feki na kushuka kwa uwendeshaji wa baadhi ya makampuni , umenikumba mpaka mimi kwasasaivi inafikia mwaka 1 sina kazi mke nimemrudisha kijjini naunga unga tu mjini Dasalama.

Nimepata kazi ya Kuwa Kondakta wa Daladala lakini sina uzoefu wowote wa hiyo kazi , kila nikikumbuka viza vya makondakta [emoji22][emoji22][emoji22]
Kwa wenye uzoefu na wajuzi pamoja na changamoto zake kwenye kazi hii ya UKondakta wa Daladala , Anisaidie tafadhali.
Nawasilisha
 
Wameenda kurutubishana muda huu, Siunajua weekend leo.
Ngoja tuwasubirie
 
Uwe msafi sasa hakuna mahali palipoandikwa kuwa makonda wote wasifue nguo au kuoga,hiyo ni kazi Kama zilivyo kazi zingine,hayo tu
 
Uko sahihi mkuu, mbona huyu Konda anayekusanya mashoga ni msafi msafi?
 
Cha msingi weka akilini kuwa ni kazi kama nyingine
Kuna makonda wa daladala ni wastaarabu sana
Ile kupigishana kelele na watu wakati mwingine ni kujipeleka
Kikubwa uwe unafua nguo unaoga unakua msafi wa zile sare zenu vaa chini raba sio yeboyebo na usinyoe kiduku yale matusi yanayoonekana ni viunganishi vya sentensi achana navyo

Hakika kwa kufanya hivi utafurahia kazi yako hata wakati unapishana na watu ndani ukidai nauli wala hawatapata kero na ukiwasogeza watasogea kiroho safi

Ila zile posho zenu sijui zinaendaga wapi japo mnapata nyingi...kwa hili umshirikishe pia na m/mungu akupe maarifa ya kutunza pesa ufanye na mengine zaidi

Umempa ushauri mzuri,watu wanadharau kazi hii,kutokana wahusika wanavo jiweka,minguo michafuu,lugha chafu,kichwani ndo usiseme.
 
Yaani kuita kariakooo na kutoza nauli kwa abiria yahitaji ushauri na uzoefu.....ha ha ha ha bathi thawaa
 
Ungeanza na route ya kistaarabu kuanzia kama makumbusho kwenda posta. Wale abiria wao ni wastaarabu. Ukishazoea ndio uhamie route zingine
 
Kwanza haitwi kondakta Yule cheo chake halisi ni bus manager au bus cashier.Sababu ndiye mwenye kusema shusha ,pakia Na ondoa daladala na kusikiliza malalamiko ya abiria Na kuyapa ufumbuzi ndiye manager wa daladala.Hivyo anatakiwa kuwa msafi kama bus manager.Ukimwajiri sana sana umwajiri kama bus cashier kazi yake kukusanya cash kwa abiria kazi Ambayo ni sawa tu Na cashier wa Benki au popote.Hivyo usafi muhimu.Hii kazi nilishawahi Fanya tatizo kuu ni route ndefu zenye nauli tofauti mfano unakuta safari ndefu nauli 750 lakini kuna wengine wanashuka vituo vya jirani ambapo nauli shilingi 400.Sasa kuna mida abiria wengi mno vituoni Na kwenye gari wa kupanda Na kushuka mtu anakupa nauli ya 400 kumbe anaenda hadi mwisho aliyotakiwa alipe 750!!!! Kushika sura kazi kuwa yupi kanipa hela ya kuishia wapi wakati Kila kituo kuna wapandaji na washukaji ni shughuli pevu.Unatakiwa kuwa na akili timamu hasa.Kusaidia hilo Sumatra wangeweka nauli flat tu.Hiyo kazi iliniumiza sana .Ila ni kazi nzuri tu ya u cashier kama kuajiriwa cashier popote.Mabenki yanaajiri ma cashier wenye degree Na wanakubali sijui kwa nini watu hawataki kuajiriwa kama ma cashier kwenye daladala Na digrii zao wanaachia ajira kwa wahuni.Kaifanye tu ni kazi nzuri tu
 
Kwanza haitwi kondakta Yule cheo chake halisi ni bus manager au bus cashier.Sababu ndiye mwenye kusema shusha ,pakia Na ondoa daladala ndiye manager wa daladala.Hivyo anatakiwa kuwa msafi kama bus manager.Ukimwajiri sana sana umwajiri kama bus cashier kazi yake kukusanya cash kwa abiria kazi Ambayo ni sawa tu Na cashier wa Benki au popote.Hivyo usafi muhimu.Hii kazi nilishawahi Fanya tatizo kuu ni route ndefu zenye nauli tofauti mfano unakuta safari ndefu nauli 750 lakini kuna wengine wanashuka vituo vya jirani ambapo nauli shilingi 400.Sasa kuna mida abiria wengi mno vituoni Na kwenye gari wa kupanda Na kushuka mtu anakupa nauli ya 400 kumbe anaenda hadi mwisho aliyotakiwa alipe 750!!!! Kushika sura kazi kuwa yupi kanipa hela ya kuishia wapi wakati Kila kituo kuna wapandaji na washukaji ni shughuli pevu.Unatakiwa kuwa na akili timamu hasa.Kusaidia hilo Sumatra wangeweka nauli flat tu.Hiyo kazi iliniumiza sana .Ila ni kazi nzuri tu ya u cashier kama kuajiriwa cashier popote.Mabenki yanaajiri ma cashier wenye degree Na wanakubali sijui kwa nini watu hawataki kuajiriwa kama ma cashier kwenye daladala Na digrii zao wanaachia ajira kwa wahuni.Kaifanye tu ni kazi nzuri tu
Umefafanua vizuri sana
 
Posho elfu hamsini wakati mnarud kulaza gari usiku ila unaamka asubuhi na buku mbili tu ya supu walahi
 
Cha msingi weka akilini kuwa ni kazi kama nyingine
Kuna makonda wa daladala ni wastaarabu sana
Ile kupigishana kelele na watu wakati mwingine ni kujipeleka
Kikubwa uwe unafua nguo unaoga unakua msafi wa zile sare zenu vaa chini raba sio yeboyebo na usinyoe kiduku yale matusi yanayoonekana ni viunganishi vya sentensi achana navyo

Hakika kwa kufanya hivi utafurahia kazi yako hata wakati unapishana na watu ndani ukidai nauli wala hawatapata kero na ukiwasogeza watasogea kiroho safi

Ila zile posho zenu sijui zinaendaga wapi japo mnapata nyingi...kwa hili umshirikishe pia na m/mungu akupe maarifa ya kutunza pesa ufanye na mengine zaidi

Nawasilisha
Nashukuru sana kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi.
Kesho ndio siku yangu ya kwanza kuwa konda.
Maisha bhana.....
 
Ungeanza na route ya kistaarabu kuanzia kama makumbusho kwenda posta. Wale abiria wao ni wastaarabu. Ukishazoea ndio uhamie route zingine
Nimepata Daladala la makumbusho kwenda mabibo .
hiyo nayo zipi?
 
Posho elfu hamsini wakati mnarud kulaza gari usiku ila unaamka asubuhi na buku mbili tu ya supu walahi
Duuh....kwanini mkuu,hizi Elfu 48,000/= zinaenda wapi?
 
Kwanza haitwi kondakta Yule cheo chake halisi ni bus manager au bus cashier.Sababu ndiye mwenye kusema shusha ,pakia Na ondoa daladala na kusikiliza malalamiko ya abiria Na kuyapa ufumbuzi ndiye manager wa daladala.Hivyo anatakiwa kuwa msafi kama bus manager.Ukimwajiri sana sana umwajiri kama bus cashier kazi yake kukusanya cash kwa abiria kazi Ambayo ni sawa tu Na cashier wa Benki au popote.Hivyo usafi muhimu.Hii kazi nilishawahi Fanya tatizo kuu ni route ndefu zenye nauli tofauti mfano unakuta safari ndefu nauli 750 lakini kuna wengine wanashuka vituo vya jirani ambapo nauli shilingi 400.Sasa kuna mida abiria wengi mno vituoni Na kwenye gari wa kupanda Na kushuka mtu anakupa nauli ya 400 kumbe anaenda hadi mwisho aliyotakiwa alipe 750!!!! Kushika sura kazi kuwa yupi kanipa hela ya kuishia wapi wakati Kila kituo kuna wapandaji na washukaji ni shughuli pevu.Unatakiwa kuwa na akili timamu hasa.Kusaidia hilo Sumatra wangeweka nauli flat tu.Hiyo kazi iliniumiza sana .Ila ni kazi nzuri tu ya u cashier kama kuajiriwa cashier popote.Mabenki yanaajiri ma cashier wenye degree Na wanakubali sijui kwa nini watu hawataki kuajiriwa kama ma cashier kwenye daladala Na digrii zao wanaachia ajira kwa wahuni.Kaifanye tu ni kazi nzuri tu
Ahsante sana mkuu kwa kunielimisha zaidi, ila nawaza wale abiria manunda ajatoa nauli anasema ametoa na anaitaji chenji yake.
 
Back
Top Bottom