Je, ushoga ni haki ya binadamu?

Je, ushoga ni haki ya binadamu?

lord atkin

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
319
Reaction score
1,106
Wanajamvi ningependa tuwe objective tujadili hili swala ushoga iwapo ni haki ya binadamu ama la!

In principle tulipokuwa tunafundishwa sheria za haki za binadamu tuliambiwa kwamba human rights are inalienable to human beings, haki za binadamu mtu huzaliwa nazo na hauwezi kuzialianate au kumtenganisha mtu kutoka kwenye haki za binadamu. Hili hata mahakama zetu kupitiaprecedent zimekiri. Jaji Samatta alishawahi kusema haki za binadamu siyo zawadi kutoka kwa serikali, hali ya kuwa hizo haki hazitambuliwi na sheria za nchi hakuzifanyi kuwa siyo haki za binadamu. Sheria wala katiba haitoi haki za binadamu kwa watu bali sheria na katiba ni ishara kwamba jamii imezitambua haki husika. Lakini hata zisipokuwepo kwenye katiba bado zinabaki kuwa haki za binadamu kwa sababu mtu anazaliwa nazo.

Kumetokea mkanganyiko kuhusiana na haki za binadamu na swala la ushoga nchini Tanzania. Debate kubwa sana inayogusa nyanja za kisheria, kijamii na kiutamaduni. Hili limenifanya nichokonoe mada hii ili tupate kujadili je ushoga ni haki za binadamu?

Umoja wa mataifa kupitia matamko yake mbalimbali na makongamano wametambua ushoga kama haki za binadamu, na wametafsiri Tamko la Kimataifa la haki za binadamu, The Universal Human Rights Declaration of 1948 kuwa linagusa na kutambua haki za ushoga. UN wanasema kila mtu ana right to non discrimination on the bases of gender identity and sexual orientation.

Nilipokuwa nasoma sheria za haki za binadamu Human Rights Law katika chuo fulani (Sitakitaja) nalifundishwa kuwa kwenye haki za binadamu kuna mjadala mkubwa unaohusu UNIVERSALITY OF HUMAN RIGHTS,

Katika mjadala huu kumeibuka mabishano ya kihaki za binadamu ambapo zipo nchi na watu wanapinga au kukubali. Nchi za magharibi zinasema human rights are universal kwa maana kwamba jambo ambalo ni haki za binadamu London linatakiwa liwe ni haki ya binadamu Tabora.

Lakini kuna upande mwingine unaopinga universality of human rights kwa maana kwamba haki za binadamu ni lazima zizingatie utamaduni na historia ya jamii husika. Wao wanasema kitu ambacho ni haki za binadamu Ontario Canada kinaweza kikawa siyo haki za binadamu Kampala Uganda.

UNDP wanaandika

"Simply stated, universality of human rights means that human rights must be the same everywhere and for everyone. By virtue of being human, every individual is entitled to inalienable rights and freedoms. These rights ensure the dignity and worth of the human person and guarantee human well-being.
Some ask whether human rights are truly universal. The implication is that the rights contained in the Universal Declaration of Human Rights (UDHR) may not apply to some countries and societies. But the text of the UDHR is written in universal terms. “All human beings” are born free and equal in dignity and rights. “Everyone” is entitled to rights without distinction of race, sex or other status. “Everyone” has the right to food, health, housing, education. The record shows that the UDHR is a distillation of many different cultural, legal and religious beliefs. In the 50 years since it was written, its ideals have been repeatedly reasserted. The 1993 World Conference on Human Rights affirmed that all human rights are universal, indivisible and interdependent." Universality and priorities | Human Development Reports

Moja ya maswala yanayoibua na kuchochea mjadala kuhusu "universality of human rights" ni swala la ushoga ambalo baadhi ya nchi zimelitambua kuwa ni haki za binadamu hivyo kulazimisha pia nchi zingine zitambue. Swala ambalo nchi zingine zinalipinga kwa kuwa wanaamini haki za binadamu lazima ziendane na utamaduni na historia ya jamii.

UNDP wanasema

"Does universality negate cultural diversity? Are human rights at odds with religious beliefs? Are they a Western conception that is being imposed to advance global markets? Who can deny that we all seek lives free from fear, discrimination, starvation, torture? When have we ever heard a free voice demand an end to freedom? When has a slave ever argued for slavery? The 1993 World Conference noted that “it is the duty of States, regardless of their political, economic and cultural systems, to promote and protect all human rights.”
Universality and priorities | Human Development Reports

Mjadala bado ni mkubwa na hakuna mwafaka baina ya wataalamu na wapigania haki za binadamu lakini changamoto kubwa ni kuwa wapigania haki za binadamu kutoka nchi masikini huenda wakakosa nguvu ya kutetea misimamo yao kwa kuwa wanategemea ufadhili kutoka kwenye mataifa yenye pesa ambayo wakati mwingine huwa na mtazamo kinzani juu ya universality of human rights.

Wanajamvi karibuni kwa mjadala na swali ni je ushoga ni haki ya binadamu nchini Tanzania tukizingatia mazingira na utamaduni wetu?
 
Chadema TUNASEMA haki ya kila raia iheshimiwe. Tumasema waacheni mashoga na malesbo wafanye yao. Ni chaguo lao!
 
unaposoma haimaanishi ukariri kile ulichofundishwa bali utumie akili yako ukiongezea na kila ulichofundishwa ndio maana mtu anayechukua phd anatumia muda mwingi kufanya research badala ya kukaa darasani.Swala la ushoga ni kitendo ambacho hakihusiani na haki za binadamu kwa sababu ile sehemu haikuumbwa kwa ajili ya tendo la ndoa bali iliwekwa kwa matumizi mengine
 
Sijui kwa nini binadamu wengine wamefungwa ufahamu kiasi cha kushadadia machukizo haya.

Hakuna dini yoyote inayoukubali ushoga/usagaji. Tumejifanya wabunifu kuliko aliyetuumba.

Kubadili matumizi elekezi ya kila kiungo cha mwili huleta madhara. Siku moja tumia jicho kuonja chakula au pua kunywea juice
 
Umeandika vizuri sana. Kwa watu wanaotaka mjadala watajikita katika hoja sio kejeli.

Mimi nakubaliana kuwa haki za binadamu ni universal. Lakini ni nani mwenye kuamua hiki ni universal na hiki ni cultural. Lazma kuwe na universal principal. Kama haki za binadamu mtu anazaliwa nazo, kula, kuishi, ku sex, nk. Ni nani atasema kusex na jinsi inayofanana ni saw a au sio sawa?

Kufanya mapenzi mwanaume na mwanaume ni sawa? Kufanya mapenzi na mnyama nako ni sawa? Tulizaliwa nayo? au ni suala la kujifunza?

Lengo kuu la maumbile ya kiume ni kuzaa, starehe ni secondary. Kama lengo ndio hilo basi mapenzi katika jinsi tofauti ndio tulizaliwa nayo, hii ndio haki ya binadamu, mtu asizuiliwe. Maumbile yanaonyesha hutamani mwanamke sio mwanaume, hiyo ndio haki ya kuzaliwa nayo.

Tabia mtu hazaliwi nayo bali anajifunza katika jamii. Mfano, ulevi, ugomvi, ulafi, uasherati nk. Ushoga ni tabia ya kujifunza wala sio ya kuzaliwa haipo katika damu. Mtu anajifunza.
 
unaposoma haimaanishi ukariri kile ulichofundishwa bali utumie akili yako ukiongezea na kila ulichofundishwa ndio maana mtu anayechukua phd anatumia muda mwingi kufanya research badala ya kukaa darasani.Swala la ushoga ni kitendo ambacho hakihusiani na haki za binadamu kwa sababu ile sehemu haikuumbwa kwa ajili ya tendo la ndoa bali iliwekwa kwa matumizi mengine
Nakubaliana na wewe ila sentensi ya mwisho nadhani inaweza kuwa na utata kwa mtu mwingine. "Ile sehemu imeumbwa kwa Kazi ingine" ni sehemu ipi?
 
Jibu swali kama great thinker
Hakuna cha haki za binadamu hapa,hao wapuuzi wasituletee ushoga kwa maneno yao matamu.
Mashoga wa Tanzania adhabu yenu iko palepale bila kujali wapumbavu wangapi wanawatetea.
Mugabe once said "even satan isn't a gay"
 
. “All human beings” are born free and equal in dignity and rights.

Hii ni sehemu ya citation kutoka kwenye andiko lako nami naongezea kidogo

You were born free BUT everywhere with chain
Hii inaonyesha kuwa pamoja na kuwa ulizaliwa na kuwa huru lakini kila uendapo utakua na minyororo (sheria flani zinakubana ) sasa hawa ni watu wa ajabu sana wanataka Uhuru usiokua na mipaka
 
"Uhuru bila mipaka ni wazimu " nkuruma
 
Back
Top Bottom