Ulimwengu Umejificha Wapi?

Ulimwengu Umejificha Wapi?

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
1,822
Reaction score
2,332
Habari wana JF
kama kichwa cha habari kilivyo nami ndivyo naongeza maelezo kidogo,
Nikijaribu kufuatilia sana masuala mengi ya asili yetu wanadamu jinsi tulivyo ishi hadi kufika hapa
ninayokutana nayo ni haya
Mwanzo wa Ulimwengu======>Hadithi Za Mataifa ya zamani Haswa historia za kidini========>Utumwa=====>Ulimwengu wa sasa

Yaaani nikisema niunganise kutoka kipindi kile kama kutoka akina Yesu,Mohamad,ISrael nk najikuta nadumbukia katika dimbwi la giza
nikiibuka nakutana na ukoloni ukiendelea ndio nafika hadi tulipo
Hivi nini kilitokea katikati ya Zama za Utumwa na Kipindi cha zamani zaidi?


Yaani kuna muunganiko hata siupati kabisaa hapa naona kuna vitu vimepotea hata sijui vimepotelea wapi
Mfano
Ukiangalia uongozi Wetu Kuanzia Kwa Mkapa==>Kikwete==>Magufuli yaani kuna mtiririko mzuri unaupata,
sasa nini kimetokea hasa kwetu sisi Africa elimu kubwa na historia kubwa tunaijua nikuanzia ukoloni na kuendelea mbele
Kuanzia ukoloni a kurudi nyuma bado tupo katika msongo wa mawazo yaani sioni muunganiko wowote ule
Mlio nielewa Msaada please wa kimawazo na kuelimishana zaidi.

1.52Bmillion2Byear2Bold2Btracks2B-2BGeologyPage.jpg
139206131210365541100174.jpg
 
Back
Top Bottom