NSSF: 33.3% ya mshahara kwa miezi 6

NSSF: 33.3% ya mshahara kwa miezi 6

Kaziutumishi

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2018
Posts
325
Reaction score
385
Mwenye habari ya kanuni mpya ya NSSF tusaidieni kuweka hapa. Binafsi nimesoma Daily News lakini maelezo ya waziri na gazeti hayaeleweki, 'vague', mara 33.3% ya mshahara italipwa kila mwezi kwa miezi 6, mara ni kuanzia August 1, 2018. Yaani baada ya miezi 6 what next? Kuweza kupokea pension uwe umechangia angalau miaka 15. What happens kwa sisi tuliochangia 6 years and are not planning to be employed again? Iko siku nitawaza kwenda msituni.
 
Yani hapa kwenye pension serikali inachofanya ni wizi wa wazi.
Hakuna tofauti kati ya serikali na waliokua wakipiga roba ya mbao mitaa ya Manzese kipindi kile.

Jiwe amegundua Pension kama scheme ya kuoffload losses na kuficha mapungufu.
Yaani anawasokota wastaafu ile mbaya. Na Kama kawaida tunaunga mkono hizi juhudi
 
Kwanini hakuna maelezo ya waziri kivuli wa sector hii? Zitto pamoja na kuwa ni pretender mzuri angalau anaamsha debate ya masuala muhimu, what is chadema leadership doing so far?
 
Naamini hili la mambo ya kuondolewa kwa fao la kujitoa halituhusu sisi wafuasi kindakindaki wa Magu. Hawezi kutufanyia hivi
 
Tundu Lissu tunaomba mtazamo na ushauri wako kuhusu yanayoendelea juu ya NSSF
 
Mwenye habari ya kanuni mpya ya NSSF tusaidieni kuweka hapa. Binafsi nimesoma Daily News lakini maelezo ya waziri na gazeti hayaeleweki, 'vague', mara 33.3% ya mshahara italipwa kila mwezi kwa miezi 6, mara ni kuanzia August 1, 2018. Yaani baada ya miezi 6 what next? Kuweza kupokea pension uwe umechangia angalau miaka 15. What happens kwa sisi tuliochangia 6 years and are not planning to be employed again? Iko siku nitawaza kwenda msituni.
Tafuta sheria na standing order haya kusikia vijweni hufiki popote
 
Sheria inasema waziri atengeneze kanuni, mi nimeuliza mwenye habari ya kanuni, we una delusions za vijiweni, sasa nani wakumsaidia mwenzake hapa
Nenda kwenye Duka la serikali mtaa wa Jamhuri baada ya njia ya kuingilia break point mlango kama watatu hivi utajua kama kategeneza au la. Zaidi ya hapo unategemea hear say kufanya maamuzi.
 
So kwa logic na iq yako ni kuwa nchi hii kila anayehitaji taarifa fulani kutoka serikalini ni lazima aende mwenyewe physically mtaa wa jamhuri? Are you really modern homo sapiens?
 
Mwenye habari ya kanuni mpya ya NSSF tusaidieni kuweka hapa. Binafsi nimesoma Daily News lakini maelezo ya waziri na gazeti hayaeleweki, 'vague', mara 33.3% ya mshahara italipwa kila mwezi kwa miezi 6, mara ni kuanzia August 1, 2018. Yaani baada ya miezi 6 what next? Kuweza kupokea pension uwe umechangia angalau miaka 15. What happens kwa sisi tuliochangia 6 years and are not planning to be employed again? Iko siku nitawaza kwenda msituni.
Ukiwaza kwenda msituni nishtue na mimi twende wote
 
Mwenye habari ya kanuni mpya ya NSSF tusaidieni kuweka hapa. Binafsi nimesoma Daily News lakini maelezo ya waziri na gazeti hayaeleweki, 'vague', mara 33.3% ya mshahara italipwa kila mwezi kwa miezi 6, mara ni kuanzia August 1, 2018. Yaani baada ya miezi 6 what next? Kuweza kupokea pension uwe umechangia angalau miaka 15. What happens kwa sisi tuliochangia 6 years and are not planning to be employed again? Iko siku nitawaza kwenda msituni.
Vitu kama hivi watzii huwa hawavielewi kabisa hii ni dhuluma ya haki inaofanya na serikali sikivu ya sisiemu
 
Halafu
Alafu bado kuna watu wanashabikia CCM!Bora nishabike chama cha shetani (kama kingekuwepo) kuliko CCM yenye kutuletea mambo haya.
Hiki chama kinawatia watu umasikini lakini wanakipenda mno !! Fikiria ulikua private sector umeganya kazi miaka 10,unamaliza mkataba ukiwa na 33!! Inaambawa hakuna nssf yako halafu unaambiwa utapewa vijipesa 33.3% kwa miezi sita !!! Je nn kinafuata baada ya hapo!?? Jje nisipopata kazi tena itakuaje!?? Je akiba yangu leo ni 9 mil niliyochangia!! Je baada ya miaka zaidi ya 25 itakua na dhamani ipi!?? Kiukweli huu ni mzaha na wafanyakazi wa sekta binafsi
 
Kuna jamaa zangu watatu wamestaafu mwaka juzi mpaka leo hawajapata mafao yao, sijui tatizo ni nini...
Yani hapa kwenye pension serikali inachofanya ni wizi wa wazi.
Hakuna tofauti kati ya serikali na waliokua wakipiga roba ya mbao mitaa ya Manzese kipindi kile.

Jiwe amegundua Pension kama scheme ya kuoffload losses na kuficha mapungufu.
Yaani anawasokota wastaafu ile mbaya. Na Kama kawaida tunaunga mkono hizi juhudi
 
Tafuta sheria na standing order haya kusikia vijweni hufiki popote
JF ni standing order JF ni sheria... Ingekuwa kijiwe isingekuwa inapata misuko suko kila siku....
 
Nenda kwenye Duka la serikali mtaa wa Jamhuri baada ya njia ya kuingilia break point mlango kama watatu hivi utajua kama kategeneza au la. Zaidi ya hapo unategemea hear say kufanya maamuzi.
we acha uzwazwa wa lumumba
hilo duka unalijua vizuri au ulihadithiwa kijiweni eti kuna duka la silikale mtaa wa jamhuri
 
So kwa logic na iq yako ni kuwa nchi hii kila anayehitaji taarifa fulani kutoka serikalini ni lazima aende mwenyewe physically mtaa wa jamhuri? Are you really modern homo sapiens?
huyu jamaa ni zwazwa kweli hilo duka anaongea kama analijua lipo
 
Back
Top Bottom