Idara ya uvuvi mkoani Kagera imekamata samaki aina ya sangara kiasi cha tani 1.2 wenye thamani ya Sh10.3 milioni ambao walipatikana kwa njia za uvuvi haramu na walikuwa wakitoroshwa kwenda nchini...
DUNIA ya sasa imejaa sarakasi nyingi sana katika masuala ya mahusiano. Huyu anampenda yule, mwenzake hampendi. Anayemkataa mwenzake naye anampenda mtu mwingine ambaye naye huyo mtu hampendi...
UKISIKIA neno Konki Konki, Konki Master kwa harakaharaka kwanza utamfikiria mkongwe katika Muziki wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudu Baya’.
Kwa kipindi cha hivi karibuni, Dudu Baya aliyewahi...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imenasa wafanyabiashara wakubwa 10 wa maduka katika eneo la Kariakoo kwa tuhuma za udanganyifu wa kulipa kodi kwa serikali.
Akizungumza na...
Mzuqah wanajamvi,
Naona bongo hatuna desturi ya kumiliki haya magari.
Motor homes ni haya magari kama nyumba. Ambayo yana kitanda, choo bafu na jiko.
Kati ya motorhomes nayoipenda ni Burstner...
Pamoja na mapungufu yake ya kawaida kama binadamu mwingine, mie nafikiri ni kiongozi ambaye angalau amejaribu kuonyesha umahiri wake katika utendaji. Tumeona Wizara alizokabidhiwa na mabadiliko...
Habari,
Kwako Mheshimiwa Rais wa JMT na Waziri wa Utumishi. Ninaomba kueleza changamoto kubwa ambayo baadhi ya wilaya na mikoa inazembea sana katika kulishughulikia au kulimaliza kabisa.
Tatizo...
Habari zenu ndugu zangu Watanzania, Na wakazi wa Dsm,
Kama mkazi wa mbezi msakuzi-makabe na Mtanzania halisi, Napenda kutoa wito kwa Serikali yetu kuanzia ngazi ya mkoa, Usafiri huu ni mbovu na...
Nimepoteza line ya airtel Jana na ni line mhim sana ,naomba kuuliza namna ya kurenew line ya airtel kuna tofauti na ile ya vodacom kwa vigezo na masharti ?
Turkish Amateur club Saraykoyspor have confirmed the death of Nigerian forward Ekundayo Ebenezer Mawoyeka who slumped during Sunday’s league game.
The 23-year-old collapsed in the 35th minute of...
Nilipoangali muda ilikuwa ni saa 8:41 usiku. Tulimwagiwa maji tukiwa tumelala mimi na shemeji yenu na mtoto wangu wa mwaka na miezi mitatu. Maji yenyewe yalikuwa kama mtu aliyechovya mkono ndani...
Hakuna asiyejua kuwa Yanga kwa sasa sio kampuni na wala haina mdhamini wa kugawa pesa kama zamani
Kwa hiyo nijukumu la mashabiki na wanachama kuunganisha nguvu zetu ili klabu yetu kuipunguzia...
Protocol Observed.
Kwanza nitoe pongezi kwa waanzilishi wa jamiiforum mana imekuwa msaada wa kubadilishana maarifa mbalimbali pamoja na changamoto mbili tatu. Ushauri wangu ni kuwa hamna uwezekano...
Ebu tusaidiane hapa,mwaka Jana bodi ya mikopo mwaka Jana ilifungua maombi mwezi wa 8 wakaona wamechelewesha wanafunz kuanza masomo ,this year wakafungua dirisha la maombi mwezi wa 5 ili kwenda na...
Mapema tarehe 30/10/18 nilipokea taarifa kwamba tarehe 6/11/2018 nifike Kigamboni TANESCO ili nichukue makadirio yangu ya kuingiza umeme.
Baada ya siku 5, siku ikafika, nikajongea kwa kuchelewa...
Ndugu wapendwa bila shaka hamjambo, poleni kwa majukum, Ninawaheshim wote mlio ktk JF
Niende Kwenye Topic moja kwa moja
Nchi ya Tanzania tumezungukwa na Nchi mbali mbali ambazo tunaweza Kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.