Gien Banks
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 352
- 946
THREAD ENDED
Kisomo cha Ahlal-Badri unaweza ukakisoma kwa nia ya kinga na tiba ya kuondosha maradhi mwilini .Ila kwa masharti wewe unayo somewa hicho kisomo uwe na nia safi kwa watu.Sio tena unakisoma hicho kisomo kwa ajili ya kinga na tiba. Kisha wewe mwenyewe ni mchawi au unawadhuru watu kwa kwenda kwa waganga kuwaroga au unawahisi watu wanakuroga wakati wewe umesha fanya hicho kisomo cha Ahlal Badri kitakutandika wewe kwanza uliye kisoma hicho kisomo cha Ahlala-Badri ,halafu kitamtafuta mtu anayekufanyia mabaya kipate kumtandika jihadhari ukifanya hicho kisomo cha Ahlal-Badri.Wasaalam Wakuu....
Katika pita pita zangu humu nimesoma threads nyingi za imani na swala zima la utafutaji kwa ujumla. Katika swala zima la utafutaji pia tunakumbana na mambo na watu wengi kadha wa kadha.
Naomba kujuzwa na kuelewa juu ya wanavyosema Kisomo cha Albadr kama Tiba ya matatizo mbali mbali ya kiroho i.e. nuksi, shirki, uchawi, mapepo wachafu na uovu wowote wa aina hyo aliyofanyiwa mtu...
Madhara/Faida yake ??
Changamoto zake etc.
NB: Lengo ni Tiba na KingaTu, Hakuna anayetaka Shari na Mtu wala kutaka mtu adhurike.
Ahsanteni. [emoji1488]
😀😀😀 Ile Billioni ya mzee Dewji ningekuwa nipo Bongo ningeweza kuipata mimi kwa hicho kisomo cha ahlal -Badri.Unataka ujipatie ile Billioni 1 ya Mzee Dewj nini? Tuambizane mkuu[emoji18]
😀😀😀 Ile Billioni ya mzee Dewji ningekuwa nipo Bongo ningeweza kuipata mimi kwa hicho kisomo cha ahlal -Badri.
Kabla sijawa stressed na maisha kingenifaa sana!Ningeandika jambo kuhusu hiyo Surat, ila wacha nikae kimya kwanza
Kabla sijawa stressed na maisha kingenifaa sana!
Kabla sijawa stressed na maisha kingenifaa sana!
Ushuhuda wa Tukio la ushirikina mjin Kigoma.Wasaalam Wakuu....
Katika pita pita zangu humu nimesoma threads nyingi za imani na swala zima la utafutaji kwa ujumla. Katika swala zima la utafutaji pia tunakumbana na mambo na watu wengi kadha wa kadha.
Naomba kujuzwa na kuelewa juu ya wanavyosema Kisomo cha Albadr kama Tiba ya matatizo mbali mbali ya kiroho i.e. nuksi, shirki, uchawi, mapepo wachafu na uovu wowote wa aina hyo aliyofanyiwa mtu...
Madhara/Faida yake ??
Changamoto zake etc.
NB: Lengo ni Tiba na KingaTu, Hakuna anayetaka Shari na Mtu wala kutaka mtu adhurike.
Ahsanteni. [emoji1488]
Ushuhuda wa Tukio la ushirikina mjin Kigoma.
Habar zenu Wadau
Juzi shoga yangu alifukuzwa kazi hapa tukaelekezwa na rafiki yangu kwa mzee Kingwele anaishi Mpakan na Congo.
Tulipatiwa huduma pale siku nne tuu.
Siku ya pili na ya tatu tulivyokwenda nikashuhudia folen kubwa sana ya watu wenye shida mbalimbali ila idadi kubwa ni wanawake.
Tukiwa pale kuna mteja mmoja ndio alikuwa anahudumiwa na Babu.
Ndipo kwa mara ya kwanza kuona Babu akivuta msukule kupitia Mitambo yake.
Ndugu wa yule mgonjwa walilia sana kwa furaha.
Ikawa babu anahangaika na Madawa ili amrejeshe vizur akili yake aweze kuongea.
Wakat tupo pale baadae nikaona tena Wagonjwa wengine wakitoa shukran zao kwa kumpa Babu zawad.
Nilijaribu kudadisi kwa Wajukuu zake nikaambiwa.
A) Mzee Mangi alikuwa na kesi ya Kuua lakin file la kesi yake lilipotea hivyo kesi ikafa na yule Afande aliyeshika file alipata ajali na amelazwa hospital
B) Mama Omar alifanikiwa kurudiana na Mume wake aliyemtelekeza takriban miaka mitano.
Mama huyu alihudumiwa na Babu kwa siku saba tu
C) Ustadh Hussen nae alifanikiwa kupata utajir kwa njia nyepes tuu siyo kuua binadam bali kuchinja Mbuzi mmoja kwa Mwaka kila Tareh ikifika
D) Nikaona ...... Akimkabidhi babu Solar baada ya kufanikiwa kuua ndugu.... Aliyekuwa akimsumbua Sana.
E) Mama Zuwena alitoa sh... Ya shukran kwa Babu baada ya Mgahawa wake kujaza wateja sana na chakula hakilali.
Hivyo dawa ya Mvuto wa biashara iliyochanganywa na .... Ilifanya kazi vizur.
Note: Shoga yangu nae alirudishwa kazin baada ya wiki moja na hivisasa tupo Dar tumechukua likizo angalau tubadilishe Mazingira..
Kiufupi huyu Babu anawajukuu zake ambao ndio huwa anawatuma kuchimba dawa na anachanganya na VISIMBA na mambo mengine anayoyajua yeye....
Mmh! Najua kuna watakao toa Povu ila uhalisia ni kwamba Ushirikina/Uchawi upo na watu wanapata huduma mbali mbali wanafanikiwa ila watakaosema Uchawi haupo basi hao hawajapata matatizo.
Namba za huyo Babu.
(+255678134718) kwa ufafanuz zaid..