Madereva bajaji kuweni makini .

Madereva bajaji kuweni makini .

agata edward

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2014
Posts
6,641
Reaction score
9,414
Miaka ya nyuma bodaboda walikuwa tishio kwakusababisha ajali kila siku,ila kwa sasa wamepata msaidizi bajaji,Ukweli nafurahi kuona vijana wenzangu waliokuwa mtaani wamejipatia ajira na sasa maisha yanaenda mbele,ila tutetegemee vifo zaidi na walemavu zaidi kutokana na ajali zinazosababishwa na hawa madereva wasiotaka kufwata sheria...binafsi nimeshashuhudia ajali tatu za bajaji na zote ukiangalia ni uzembe wa dereva,mamlaka zinazohusika tunaomba wafwatilie elimu za hawa madereva LA sivyo Yale ya bodaboda yatajitokeza tena.
 
Back
Top Bottom