Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,625
Kabla mtu hajaanza kulaumu juu ya kujigonga maneno au vitendo ya fulani na fulani lazima mtu aelewe ni wakati gani inakuwa ni mgongano na wakati gani hauwi mgongano.
Kuna mgongano wa vitu vingi sana kama vile mgongano wa magari kwa magari,mgongano wa watu kwa watu,mgongano wa vitendo,mgongano wa meli,mgongano wa kauli
MFANO WA MGONGANO WA KAULI KWA MTU MMOJA.
mtoto kasema ana njaa sana hajala chakula,lakini hapo hapo akasikika anasema hana njaa katosheka na chakula.
Hapa tunaweza kumwambia mtoto ya kuwa anajigonga maneno yake kutokana na kuwepo kwa kauli mbili tofauti zinazomuhusu yeye.
Mfano wa kutokujigonga.
MTOTO KASEMA ANA USINGIZI SAN LAKINI AKASEMA TENA HATOLALA.
hapa huwezi ukasema mtoto kajigonga kauli yake kwa sababu maneno yako wazi na makusudio.
Sasa unapotaka kumlaumu mtu juu ya kujigonga kwa maneno yake lazima maneno yote uyatoe kwake.
Sio unasema fulani anajigonga alafu ukiambiwa lete kauli zake anazojigonga wewe unaileta moja na ingine unaitoa yako.hapo utakuwa hujui maana ya kujigonga.
MFANO tukisema tulete kauli inayoonyesha mtoto kajigonga kauli zake tutasema hivi
Mtoto kasema ananjaa sana hajala chakula alafu akasikika ten anasema hana njaa katosheka na chakula wakati hakula
Hapa tunasema mtoto kajigonga kauli mbili zinazopingana zote zinatoka kwake.
Lakini tukiambiwa tulete kauli zinazoonyesha kajigonga mfano tukasema
Mtoto kasema ana usingizi sana lakini kasema hatolala.kisha wewe ukasema mtoto hiyo kauli yake inajichanganya kwa sababu mwenye usingizi lazima alale alafu yeye mtoto anasema hatolala.hayo tunasema ni mawazo na tafsiri yako ambayo ipo kinyume na uhalisia huwezi kusema kajigongagonga.
UNAPOLALAMIKA KUSEMA MUNGU ANAJIGONGAGONGA
lazima utuwekee wazi anajigonga katika maneno yake?
Kama ni katika maneno yake basi unatakiwa ulete ushahidi wa kauli zote mbili zinazotoka kwake mwenyewe ambazo zinapingana wazi sio unaleta tafsiri za kwako.
UKISEMA ANAJINGONGA KATIKA MATENDO ULETE USHAHIDI WA MATENDO HAYO KATIKA KITABU CHAKE SIO UTOE KICHWANI KWAKO.
huwezi kusema magufuli anajigonga kuhusu kuajiri kisha ukiulizwa sababu useme "magufuli kasema haajiri mwaka huu na wakati huo waziri kasema anaajiri"
Hapo utakuwa hujui mgongano maana yake Aisee.
Lazima useme kwamba huku kasema hivi na mtu huyo huyo huku kasema hivi akiwa na maama fulani na fulani.