Ushauri kwa Jamiiforum

Ushauri kwa Jamiiforum

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,277
Reaction score
2,463
Protocol Observed.
Kwanza nitoe pongezi kwa waanzilishi wa jamiiforum mana imekuwa msaada wa kubadilishana maarifa mbalimbali pamoja na changamoto mbili tatu. Ushauri wangu ni kuwa hamna uwezekano wa timu yenu kudesign different app ambayo iko wazi kama whatsapp n.k. Kwa nini nasema hivo? Ukienda nchi nyingi za Asia kama China, South Korea, Japan n.k wana app zao zinazotumika kwenye nchi zao. Sasa tunakaribia mil 60. Sasa hii asset kubwa sana endapo mil 20 tu watatumia app. Hii ni katika kuepuka msemo wa kuwa sisi ni consumers tu kwa kila kitu.
Au Mazee mnasemaje.
 
hiyo si lazima jamiiforum wafanye hata wewe unaweza kufanya
Naelewa hilo kutoa ushauri si mbaya. Najua wao wako na expert na experience kwenye hii sector. Mm taaluma yangu haiandamani kabisa na IT na haitokuja iandamane. Hivyo kama kuna mwanaJF au jamiiforum wenyewe wanaweza chukua wazo au wasilijukue.
 
Mkuu ajiri wataalamu wapo una bonge la wazo acha uoga aanza you mradi
 
Sio uoga mkuu...ni kuwa mfuko wangu hautoshi kuajairi wataalamu. Nilijaribu kumshirikisha mtu tufanye partnership yeye atoe skills mimi nitoe assets kama computers n.k jamaa akasuspend baada ya kupewa shavu na wahindi. So any one can do it.
 
Hatutaki app kama ya Whatsapp, TCRA watatutoa roho zetu, sasa hivi hatuna amani kwa kukaguliwa mpaka video na picha kwenye sim zetu, ukikutwa na mzigo wa kutafutia kasi hata ya CHAPUTA BAFUNI sentro inakuhusu. Yanini zahma jingine tena

JF web na app inatutosha sana tu.
 
"Try and fail but never fail to try" start again mkuu
 
Naelewa hilo kutoa ushauri si mbaya. Najua wao wako na expert na experience kwenye hii sector. Mm taaluma yangu haiandamani kabisa na IT na haitokuja iandamane. Hivyo kama kuna mwanaJF au jamiiforum wenyewe wanaweza chukua wazo au wasilijukue.
ok nimekuelewa ila unapoiona fursa itumie bila kuangalia kama umeisomea au vipi we hujawahi kuwaona madereva wa Lori wanagombea urais wanashinda ila maprofesa wa siasa wanagaragazwa
 
"Try and fail but never fail to try" start again mkuu
Ni kweli mkuu shida siko huko kwa Mh. Magufuli natafuta maisha huku duniani. So mlioko bongo hii ni fursa. Ila nikimaliza muda wangu huku bado vijana huko wanalala nitakuja nianzishe hii project.
 
Kitu kikubwa kinachotufanya tuwe JF ni kutojulikana kama wangekuwa wanataka iwe kama unqvyosema wangetengeneza app kama FB
 
ok nimekuelewa ila unapoiona fursa itumie bila kuangalia kama umeisomea au vipi we hujawahi kuwaona madereva wa Lori wanagombea urais wanashinda ila maprofesa wa siasa wanagaragazwa
Nimetoa hii kama moja ya sababu na pia kuna sababu nyingi zimefanya nisiweza fanya hili lejea majibu yangu kwenye comment yangu hapo juu
 
Kitu kikubwa kinachotufanya tuwe JF ni kutojulikana kama wangekuwa wanataka iwe kama unqvyosema wangetengeneza app kama FB
Mkuu sijasema iwe mbadala wa JF ila iwe different project. Kama ilivyo whatsapp na instagram..kuna limitation nyingi za kutumia jamiiforum na haipo easily accessible na watu aina fulani. Hili linahitaji mtu kujua zaidi
 
Hatutaki app kama ya Whatsapp, TCRA watatutoa roho zetu, sasa hivi hatuna amani kwa kukaguliwa mpaka video na picha kwenye sim zetu, ukikutwa na mzigo wa kutafutia kasi hata ya CHAPUTA BAFUNI sentro inakuhusu. Yanini zahma jingine tena

JF web na app inatutosha sana tu.
Hahah nyie wazee wa CHAPUTA ndio tatizo. Kila kitu mnafikiria madhara yake kwenye mambo yenu. Kuna haja ya kuja na list yenu mmeamua kutumia viungo vyenu kwa njia zisizo kusudiwa na mwenyazi Mungu hahaha
 
Mawazo ni mtaji , hebu fanyia kazi mawazo yako jamaaa, jf wamefanya mawazo yao , sasa zamu yako na wewe
 
Back
Top Bottom