Rodgers Bernard
Member
- Oct 14, 2018
- 66
- 63
Nimepoteza line ya airtel Jana na ni line mhim sana ,naomba kuuliza namna ya kurenew line ya airtel kuna tofauti na ile ya vodacom kwa vigezo na masharti ?
hakuna tofauti mkuu na pole sanaNimepoteza line ya airtel Jana na ni line mhim sana ,naomba kuuliza namna ya kurenew line ya airtel kuna tofauti na ile ya vodacom kwa vigezo na masharti ?