MASHABIKI NA WANACHAMA WA YANGA NJIA YA KUISAIDIA KLABU YETU KIUCHUMI NI KUJAA UWANJANI

Wazolee

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
2,699
3,087
Hakuna asiyejua kuwa Yanga kwa sasa sio kampuni na wala haina mdhamini wa kugawa pesa kama zamani
Kwa hiyo nijukumu la mashabiki na wanachama kuunganisha nguvu zetu ili klabu yetu kuipunguzia makali ya kiuchumi

Na njia ambayo ni rahisi sana kwa wanachama na mashabiki ni kujaa uwanjani katika mechi za Yanga anazo cheza nyumbani

Ulaya wenzetu kila mji unatimu yake lakini wanajaa uwanjani na kuvingizia vilabu vyao mapato makubwa kabisa nina uhakika mechi zao za nyumba kwa mwezi wanalipa mishahara yote ya wachezaji

Sisi hapa bongo asilimia kubwa tumegawanyika kati vilabu vikubwa viwili hivyo tukiamua tunaweza kujaza uwanja wa taifa mechi zote za Yanga za nyimbani

Tukijaza uwanja wa taifa katika kila mechi itaingia milioni 400 au 500 sasa kama kwa mwezi Yanga inacheza mechi mbili au tatu nyumbani hiyo pesa ambayo inatosha kabisa kuendesha klabu kwa mwezi na chenji ikabaki

Lakini mashabiki wa Yanga katika mechi hamuendi kazi kukaa vijiweni na klabuni kumbembeleza Manji asijiuzuli ili aendele kugawa pesa bure bure tu kama vile mtu anampake kwa ajili ya matumizi ya nyumbani
 
Mkuu Maisha haya yenyewe Mafupi ya nini Ujibe stress na Club Kama Yanga? Shabikia Hata simba Dingii.. Hukumbuki Weldi Kapu watu tulihamahama timu mpaka tukachukua Kombe la Dunia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom