Lake oil gas inakaa muda mrefu zaidi ya oryx

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,330
Nmenunua mitungi miwili yenye ujazo sawa na nmefanya kautafiti kidogo nmegundua hlo.
 
Acha unambe LPG zote zinakuja in bulk procurement hakuna cha lake oil orix wala mogas labda useme waliojaza hawakuzingatia viwango vya weight and measures , Fanya tafiti Mara 2 au 3 sio inakuja hapa kuharibia watu biashara nyie ndo wale mnasema mafuta ya bp mazuri kuliko gapco wakati yamekuja na meli moja .makalio sana ww
 
Hahaa. Mbona umepaniki sana mkuu au anakuharibia soko?
 
Nmenunua mitungi miwili yenye ujazo sawa na nmefanya kautafiti kidogo nmegundua hlo.
Unless ulinunua mtungi ambao haujajaa vizuri ila wote wanajazia mitungi sehemu moja hata wewe unaweza fungua MTUI gas ukatengeneza mitungi ukaenda jaza wanakojazia
 
wewe hukupima uzito wakati unanunua hiyo mitungi kuna mmoja ulikua pungufu
 
Sasa unasemaje
Konki konki konki oryx
Ndio habari yetu
Mimi nyumbani kwangu nina tumia mitungi ya Oryx mwaka wa kumi huu
Nawapenda sana sana
Wamenitoa mbali sana
Sasa wewe tulia na Lake oil gas yake
Nadhani wamechanganya na mafuta mazito ndio maana haikwishi hiyo lake oil
 
Acha unambe LPG zote zinakuja in bulk procurement hakuna cha lake oil orix wala mogas labda useme waliojaza hawakuzingatia viwango vya weight and measures , Fanya tafiti Mara 2 au 3 sio inakuja hapa kuharibia watu biashara nyie ndo wale mnasema mafuta ya bp mazuri kuliko gapco wakati yamekuja na meli moja .makalio sana ww
Mkuu nauhakika 100% basi inawezekana mawakala wa oryx wanaiba gesi hawajazi ujazo sahihi.
 
Unless ulinunua mtungi ambao haujajaa vizuri ila wote wanajazia mitungi sehemu moja hata wewe unaweza fungua MTUI gas ukatengeneza mitungi ukaenda jaza wanakojazia
Sijui nn kmetokea.. Mtungi wa oryx 15 kg nilikua nakaa nao mwez mmoja mara chache sana unatoboa mwez na nusu.. Bt now ninao wa lake oil mwez wa pili na nusu huu
 
Acha unambe LPG zote zinakuja in bulk procurement hakuna cha lake oil orix wala mogas labda useme waliojaza hawakuzingatia viwango vya weight and measures , Fanya tafiti Mara 2 au 3 sio inakuja hapa kuharibia watu biashara nyie ndo wale mnasema mafuta ya bp mazuri kuliko gapco wakati yamekuja na meli moja .makalio sana ww
Hahahaha mkuu umepanic hatari.
Vp kwani ameingia anga zako nn?
 
Nmenunua mitungi miwili yenye ujazo sawa na nmefanya kautafiti kidogo nmegundua hlo.
BEst trick nunua mzani nyumbani kwako
kisha ukinunua unapima kama uzito uko sawa all of them wako vizuri sana sema labda inaweza tokea hitlafu kidogo mtungi usijazwe vizuri but wote wako the best
 
Hitilafu kidogo.. Kila siku mtungi hautoboi mwez na nusu mzee baba..
 
Sasa unasemaje
Konki konki konki oryx
Ndio habari yetu
Mimi nyumbani kwangu nina tumia mitungi ya Oryx mwaka wa kumi huu
Nawapenda sana sana
Wamenitoa mbali sana
Sasa wewe tulia na Lake oil gas yake
Nadhani wamechanganya na mafuta mazito ndio maana haikwishi hiyo lake oil
Mkuu huwez kuiona difference if hautachepuka..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom