Habari zenu Wakuu!
Kutokana na agizo la Rais kulitaka Jeshi letu tukufu kuhusika moja kwa moja katika Ulinzi wa maghala, Ununuzi na Usafirishaji wa Korosho. Je gharama za perdiem za walinzi...
Karibuni wiki mbili sasa mji wa Tabora umekubwa na janga la kuteka watoto na kuwabaka na kuwaua na kuwakata baadhi ya viungo ukweli inasikitisha
Kuna taarifa zinasema mji wa Tabora una taharuki...
Mapenzi ni nini? Mtu akisema mpe mwanao mapenzi yakutosha, kwamba ili ni jukumu la mzazi/mlezi au sehemu ya malezi bora. lakini huwezi kufanya mapenzi na mwanao, kwamba kufanya mapenzi ni kitendo...
Baada ya sisi Watanzania kuwa na Viherehere huku tukijifanya kila mara kuwalaumu wenye Nyumba nchini Tanzania kuwa huwa wanapandisha Kodi za pango kiholela na tukataka sifa hadi kuwashtakia wenye...
Aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wa Mkoa (RTO) kabla ya kustaafu, Mashaka Mdachi amejikuta akipatwa na fedheha ya mwaka baada ya kunaswa ‘live’ kitandani kwake akiwa na ‘kabinti...
Naomba kuelimishwa au kupewa uzoefu kwa wale mnaolindwa au mliowahi kulindwa,huwa mnajisikiaje??
Au wale mnaokuwa na ma bodyguard huwa mnaenjoy mini?Mf.vile kama Diamond, na je mlinzi wako...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi arudisha kwa Wananchi wa Vijiji vya Membe na Mlimwa, wilayani Chamwino, ardhi yenye ukubwa wa ekari 1756 aliyepewa mwekezaji Davidi...
Mwanamke mmoja nchini ZImbabwe, Silindile Mangena, amemshitaki mpenzi wake wa zamani kwa kusabisha sehemu zake za siri kupanuka kupita kawaida, na kumtaka amlipe takriban Tsh. Milioni 23 ili...
Hali imekuwa mbaya, baadhi ya watu na wafanya biashara wa korosho wamekuwa wanakamatwa kamatwa kisa wamekutwa na korosho,ambapo walinunua kihalali hata kabla ya magu hajaingilia, baadhi ya watu...
Ukizaliwa mwanaume ni Kugangamala
Ni kazi kwa kwenda mbele.
Napenda kuwatambulisha hawa Wadau
Wakiongozwa na Mr. Mwamnyanyi
Wamewaletea New Technology From Uk
Imeanzishwa kuchukua nafasi ya...
Salaam
Ni miezi sasa tangu nilipie hisa za vodacom na ukimya umetawala, walisema wangetupa taarifa walau ya cheti cha umiliki lkn pia kimya huku nikiamini fedha zetu zinazungushwa huko kwa mitaji...
Zaidi ya watu 6,000 wameajiriwa katika mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR). Kati ya ajira hizo asilimia 96 sawa na watu 6,182 ni za Watanzania na asilimia nne sawa na watu 258 ni wageni...
Nimelikuta hili tangazo la kazi ambalo limesema specifically kwamba wanahitaji Raia ambae si Mtanzania (Wanataka Mkenya, m South Africa au Mhindi)... Limenifikirisha sana, halafu position yenyewe...
Kuna shule ya secondary naidai pesa kidogo kutokana na kazi niliyowafanyia kwa makubaliano ya kulipwa kupitia fedha za elimu bure pindi zitakapoingizwa kama ulivyo utaratibu,
Makubaliano ilikuwa...
Wakuu,
Nataka kununua kafimbo cha namna hiyo kwa ajili ya 'ubitozi', 'ubishoo', 'swaga'. Vipi vinapatikana wapi kwa hapa dsm?
Natanguliza shukrani
Update: nimeshakipata, nimekipata maeneo ya...
Uendeshaji wa usafiri wa mabasi ya mwendo kasi hapa Dar es salaam mbovu haufai. Wahusika wanatoa huduma chini ya kiwango huduma mbovu sijapata ona. Watu wanalundikwa kama mizigo. Akija mtu kutoka...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 28, nina elimu ya shahada ya kwanza katika sayansi ya chakula na teknolojia kutoka SUA. Ni hivi tokea nimalize masomo nimeangaika...
Wakuu naomba kuuliza kama inawezekana kuvunja hili linaloitwa baraza la sanaa la taifa maana toka nimelijua sijawahi kuona juhudi zozote walizofanya juu ya sanaa nchini zaidi ya kuididimiza...
Kiukweli siyo Siri mnatuchanganya mno na nadhani badala sasa ya kutusaidia Kiimani na matatizo yetu ' yaliyotukuka ' ndiyo mnatuzidishia tu uwendawazimu kama siyo utahaira katika ' bongo ' zetu...