Msaada: Ni wapi kunauzwa vifimbo vifupi kama cha Mwalimu Nyerere kwa Dar

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Oct 31, 2017
7,621
16,372
Wakuu,
Nataka kununua kafimbo cha namna hiyo kwa ajili ya 'ubitozi', 'ubishoo', 'swaga'. Vipi vinapatikana wapi kwa hapa dsm?

Natanguliza shukrani

Update: nimeshakipata, nimekipata maeneo ya mwenye vinyago.
20181114_140048.jpg
 
Nilikinunua kwa mzee mmoja kijijini mashariti yake mkielewana bei hukabidhiwi kizembe inabidi ukishike kwa nguvu na kukivuta kutoka kwenye mikono ya muuzaji.
 
Back
Top Bottom