Hivi mnaolindwa ,huwa mnajisikiaje?

Hivi mnaolindwa ,huwa mnajisikiaje?

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,373
Naomba kuelimishwa au kupewa uzoefu kwa wale mnaolindwa au mliowahi kulindwa,huwa mnajisikiaje??
Au wale mnaokuwa na ma bodyguard huwa mnaenjoy mini?Mf.vile kama Diamond, na je mlinzi wako asipokuwepo huwa unakuwa ktk hali gani?
Je mahusiano yako na jamii huwaje?
 
Sasa kwanini wanajeshi wanalinda mipaka ya nchi yetu wanajisikiaje? Nasisi tunaolindwa na polisi tunajisikiaje majambazi yanapo timiza majukumu yao?
 
Hili la kulindwa sometimes ni inshu ya kisaikolojia
 
Huwa ninacheka sana pale ninapomuona Mwenyekiti wa CCM kata ya Kirumba Ilemela Mwanza Ndg. Abubakari alimaarufu ABUBA eti ana body guard, kijana na yeye anaigiza kuangalia pande zote mara kwa mara kama wale walinzi wa viongozi wakuu kama rais, makamu wake, waziri mkuu and the like.
Yaelekea kulindwa ni raha sana. hahahahah
 
Hata huyo nae analindwa?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huwa ninacheka sana pale ninapomuona Mwenyekiti wa CCM kata ya Kirumba Ilemela Mwanza Ndg. Abubakari alimaarufu ABUBA eti ana body guard, kijana na yeye anaigiza kuangalia pande zote mara kwa mara kama wale walinzi wa viongozi wakuu kama rais, makamu wake, waziri mkuu and the like.
Yaelekea kulindwa ni raha sana. hahahahah
Hahaha mkuu natamani utuwekee picha yake
 
Huwa ninacheka sana pale ninapomuona Mwenyekiti wa CCM kata ya Kirumba Ilemela Mwanza Ndg. Abubakari alimaarufu ABUBA eti ana body guard, kijana na yeye anaigiza kuangalia pande zote mara kwa mara kama wale walinzi wa viongozi wakuu kama rais, makamu wake, waziri mkuu and the like.
Yaelekea kulindwa ni raha sana. hahahahah
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Invisible bodyguard ndo wanaonilinda mm,Kwa kweli namshukuru Mungu kwa hilo,unseen bodyguard they following me every where I go
 
Back
Top Bottom