Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ombi kwako Mkurugenzi Rudisha vipindi vya Pwagu na Pwaguzi Tutajifunza mengi Asante.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Sisi kama wakazi wa Mwanza Tunaishkuru serikali ya awamu ya sasa kwa juhudi mahusihusi za kuboresha miundombinu, kwa jiji la Mwanza zimeletwa taa mpya za Barabarani ambazo nyingi zimefungwa kwenye...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Nashangaa sana kuona ofisi ya BRELA imeweka msisitizo kuwa ukitaka kusajili biashara lazima uwe na kitambulisho cha Taifa, leo nimejaribu kusajili biashara mpya ninayotaka kufungua, nimeingia...
6 Reactions
55 Replies
8K Views
Wengi wanafikiri ana hela cash bank bilioni, siyo kweli alichonacho ni Mali ambazo hiyo ndo thamani yake, na sehemu kubwa ni Mali zetu kama vile mashamba yetu ya katani na Mali zetu nyingine...
13 Reactions
207 Replies
24K Views
By SPECIAL CORRESPONDENT* FOR Heaven's sake, does the United States of America command any moral authority to point an accusing finger at other countries when it comes to human rights? This is a...
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Nyoka ana meno 4 ; 2 chini na 2 juu ambayo ndiyo yenye vijitundu vya kupitosha sumu yake inayoruka ama kunyunyiziwa kama dawa ndani ya sindano. Nyoka akikugonga maana ake anaacha meno yake sehemu...
1 Reactions
71 Replies
7K Views
Dawa ya kudumu ya Halimashauri zetu ni kuzifuta.Mwaka 1972 serikali ilizifuta,tatizo moja wapo kubwa likiwa ubadhirifu wa fedha na kutowajibika ipasavyo kwa wananchi.Matatizo hayo yapo hata...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)Limewataka wale wote walikabidhiwa hati za viwanja katika eneo la Safari City lililopo kata ya Mateves nje kidogo ya jiji la Arusha kuhakikisha wanaendeleza maeneo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salute.wakuu hizi bank za dtb mnatatizo gani upande wa ATM yaani imekuwa kero kila siku ATM utakuta iko "out of service" unaweza kutembelea hata tatu shida ni hiyo hiyo ikifika mwisho wa mwezi...
0 Reactions
2 Replies
702 Views
Mbunge wa Tandahimba kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Katani Ahmad Katani leo amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lissu anayeendelea na matibabu huko jijini Brussels nchini...
10 Reactions
31 Replies
11K Views
Kama nchi huongeza mishahara ya wafanyakazi mara uchumi wake unapoimarika na hasa baada ya uzalishaji kuongezeka kutokana na kujituma kwao , je hakuna uwezekano kuwapunguzia mishahara yao ili...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Hello wana JF, Leo nimeona nimshauri Magufuli kuwatumia mabalozi wake wa nje Kama washauri... Mabalozi wako exposed to different countries ways of living.... Hi yo basi wanajua kinachoendelea...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
1.Siku moja nilikuwa kazini simu yangu ikaita ghafla nikajihimu kuisikiliza kule kunyanyuka tu kitendea kazi kikavunjika kule kusikiliza nasikia ujumbe wa miito ya Sauti. 2.Juzi mchana nilikuwa...
0 Reactions
8 Replies
975 Views
Wakuu nimeamua kusanua hili jambo na kuona ni jinsi gani tunavyodumaza vichwa vya vijana wenzetu huko,na kutoweza kamwe kufanya mambo ya msingi ya taifa hili... Unakuta chartng zao ni kama za...
6 Reactions
31 Replies
13K Views
Arusha. Wakati Chuo kikuu cha Mount Meru, kikiwa hatarini kutaifishwa na Benki ya Rasilimali (TIB) kama kikishindwa kulipa deni la Sh3 bilioni ilizokopa miaka mitatu iliyopita, umeibuka mgogoro wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam! #Hukua na hiyari nayo#; 1. Mahali ulipozaliwa 2. Rangi ya ngozi yako 3. Wazazi, familia zao 4. Jinsia uliyozaliwa nayo 5. Lugha uliyoleleka nayo 6. Jina lako la utotoni 7. Kabila na mila...
0 Reactions
4 Replies
617 Views
Mama mmoja mkoani Tanga aliyefahamika kwa jina moja la Ashura, amemchoka kwa kisu mtoto wake wa miaka nane kwa madai ya kuvunja chupa ya chai. Akizungumza na Mtanzania Digital, mtoto huyo Zainabu...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
World Bank na IMF hawa hawa ndo walio mtisha Nyerere saiz naona wanataka kumtisha Magu sijui hawajui kwamba Tanzania kuna watu wengi wanao jitambua vizuri Hafu maisha ya kuishi kwa kutegemea...
0 Reactions
6 Replies
873 Views
Wameiondoa TZ bt duniani inaangaliwa YouTube km kawa.... VP wakiperfom nje ya nchi BASATA wanamamlaka ya kuadhibu?
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Mtu anatengeneza shida halafu huyohuyo anajitia kusovu mara watu wanaanza kumpa 'tano' .....sifa za kijinga. Huyohuyo ana haribu kazi kwa kisingizio cha kutengeneza kazi mara 'watu' wanampa...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…