Nadhani wengi wetu tunafahamu hii kitu, ni jambo dogo lakn linavutia kulifahamu, umewahi kujiuliza kwa nini mshumaa unatoa moshi pale unapozimwa na si wakati unaendelea kuwaka.
Nini sababu hasa...
Mkuu wa wilaya ya Newala ,mkoani Mtwara ,Aziza Mangosongo, amefanya operesheni maalum na kukamata tani tisa za korosho zilizokuwa zikipitishwa kimagendo.
Wiki iliyopita nikiwa safarini nilibahatika kukaa na mzee mmoja,alionekana kukosa uchangamfu huku mawazo yakiwa wazi yameshamiri ktk paji la uso wake, Baada ya kufahamiana na kuzungumza mawili...
Hivi ni vitu viwili tofauti. Ukiweza kuvijua kiundani unaweza ku tackle 50% ya changamoto za ajira.
Enzi hizi kuna watu wengi wana elimu, lakini hawana ujuzi. Na maisha ya sasa yanahitaji zaidi...
Mataifa yaliyokwisha endelea kulazimisha ushoga kwa mataifa yanayoendela ni moja ya campaign ya depopulation, sasa ndoa ya jinsia ya aina moja unategemea kutafanyika uzalishaji hapo. Hii campaign...
Mzuqa
Kunachuki inajengeka sana kwa wahamiaji ulaya na Marekani. Vyama vya nationalism vinapata nguvu kwa kuungwa mkono na wananchi. Wanachuki na waamiaji. Wakati wowote magaidi yatawashambulia...
Mkulima anapigiwa kelele anaumia hauzi kwa faida ni hasara, mfanya biaahara wa mazao nae anapigiwa kelele kuwa eti hapati faida ni hasara, mlaji nae analalamika bei juu hawezi kumudi bei ...hakuna...
Nimeona Mamlaka ya Mawasiliano imetoa mualiko wa opareta mpya wa visimbuzi...hii kwa mtazamo wangu nadhani itasaidia kuchochea ushindani katika soko angalau platforms za digital broadcasting...
Taasisi ya Kimataifa ya wanaharakati wa kutetea Waandishi wa Habari(CPJ) yasikitishwa na kauli ya Serikali ya Tanzania kuhusu kukamatwa na kushikiliwa kwa Maafisa wake
Serikali ya Tanzania...
Jana Naibu Waziri Mwanjelwa alizungumzia kuhusiana na kazi waliyopewa wizara kuzungumzia hasa ajira ya 2012 kuwepo na upandaji wa madaraja kwa utofauti mkubwa sana . Majibu yake yalionesha wazi...
By BUCHUMI PASKAZI The initial report against Tanzania show the two women who claimed they embarked on a 10-day visit to Tanzania, “primarily as a networking” and “factfinding mission to gauge...
Viongozi wengi madikteta Duniani waliopita na ambao wapo wao hutumia mashtaka ya uhujumu uchumi au uhaini ili kufanikisha azma yao ya kudumu madarakani au kuwaumiza wengine wasiokubaliana nao...
Habari wakuu
Nimekuwa moshi kwa takriban wiki kadhaa sasa nimetembelea rombo,marangu,old moshi,kibosho,machame,masama,na,siha.
Kiukweli hawa jamaa wachaga sijapata kuona tangu nizaliwe
Nimeyaona...
Kumbu kumbu zitunzwe kwa wote waliowasaliti watanzania kwa kuhamia ccm eti kuunga juhudi mkono mnaunga juhudi gani nyie wasaliti? Huu ni muda wa kuiangusha ccm kwa gharama yoyote nchi isonge mbele...
Kila jumuiya huko nje eti inasikitishwa na Tanzania, Serikali inatuambia watalii ndio wameongezeka sasa. kuna uzuri gani tena ikiwa wote huko wanatusikitikia, wanakuja kuangalia nini kilichobaki...
Wakuu,
Kuna mbunge amesema TBL imepunguza 85% ya wafanyakazi na kitengo cha finance kuhamishiwa Mauritius.
Binafsi sina taarifa rasmi juu ya mtikisiko huu ambao kama kweli upo inabidi serikali...
Habar wakuu vipi nahitaji kujua nani ambae amepitia kwenye hii room na jee vipi unavyowekwa kitimoto na wazee wakazi wakikuangalia na maswali yao ya mitego... Binafsi naionaga tuu kwenye movie...
Sisi kama wakazi wa Mwanza Tunaishkuru serikali ya awamu ya sasa kwa juhudi mahusihusi za kuboresha miundombinu, kwa jiji la Mwanza zimeletwa taa mpya za Barabarani ambazo nyingi zimefungwa kwenye...