CPJ yasikitishwa na kauli ya Serikali ya Tanzania iliyoungwa mkono na Serikali ya Afrika Kusini kuhusu kushikiliwa kwa Watumishi wake

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Taasisi ya Kimataifa ya wanaharakati wa kutetea Waandishi wa Habari(CPJ) yasikitishwa na kauli ya Serikali ya Tanzania kuhusu kukamatwa na kushikiliwa kwa Maafisa wake

Serikali ya Tanzania ilieleza kuwa Wanaharakati hao hawakuwa na vibali vya kuingia nchini kwa ajili ya kufanya kazi bali kwa ajili ya matembezi

Kauli hiyo pia imeungwa mkono na Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini

CPJ yasema Watumishi wake Angela Quintal(raia wa Afrika Kusini) na Muthoki Mumo(raia wa Kenya) walikuwa na vibali sahihi vya kuingia nchini


=====

New York, November 12, 2018--The Committee to Protect Journalists expressed indignation at statements from Tanzanian authorities and South Africa's foreign minister justifying the detention of CPJ's Africa team in Dar es Salaam on November 7.

Officials from both countries falsely claimed CPJ's Africa program coordinator Angela Quintal and sub-Saharan Africa representative Muthoki Mumo were in Tanzania without proper visas when they were detained and interrogated.

In fact, both were traveling on valid visas, as part of a fact-finding and networking trip to better understand local press freedom conditions.

"Having debriefed with our Africa program coordinator Angela Quintal and sub-Saharan Africa representative Muthoki Mumo about their detention, we are outraged by their treatment at the hands of Tanzanian authorities," said CPJ Executive Director Joel Simon. "Both had valid visas, so we have concluded that the intention of Tanzanian authorities was to harass and intimidate our team.

CPJ is also disappointed that, after all South Africa did to assist the team on the ground, its foreign minister would now repeat falsehoods about their detention."
 
Lissu aliposema udikteta unachipukia Tanzania mlisemaje?
Usijotoe ufahamau kwa kutegemea akili za lisu ikiwa umekuja nchini kwa minajili ya kupumzika na ukaanza kufanya mengine ambayo hayapo kwenye visa huko ni kukiuka taratibu na sheria na hilo halihitaji tochi kuliona labda km wewe ni mamluki au ni shabiki mandazi unashabikia usichojua.
 
Mkuu Asante Kwa heshima hio, je heshima hio ndio inaninyima ruhusa ya kuuliza swali?
Heshima hiyo inakunyima mawazo potofu kuwa kuna watu wanajua kila kitu kushinda wenye profession zao! Si kila mwanasheria anaweza kujua yetu wanauhamiaji! Na mtu ukiona anajifanya mjuaji sana ni wa kupuuzwa
 
Heshima hiyo inakunyima mawazo potofu kuwa kuna watu wanajua kila kitu kushinda wenye profession zao! Si kila mwanasheria anaweza kujua yetu wanauhamiaji! Na mtu ukiona anajifanya mjuaji sana ni wa kupuuzwa
Hebu nambie this time nisimamie Upande upi? Basi, pamoja na hayo usimuite mwingine "Mpuuzi" haipendezi. Au Unaonaje?
 
Hawa wanatapa tapa sasa, walikuwa na visa lakini sio "valid" kwa shughuli walizokuwa wanafanya!
visa ya kutembelea na visa ya kufanya utafiti ni vitu tofauti, uje kama mtalii afu ufanye kazi ambayo sio iliyokuleta pale uhamiaji walipewa vibali vipi? hebu wenye uelewa juu ya swala hili watuambie vizuri maana maneno yanatupwa tu kama mpira
 
Back
Top Bottom