Retrenchment huko TBL pengine hiki ndio chanzo?

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
20,211
Reaction score
35,863
Wakuu,

Kuna mbunge amesema TBL imepunguza 85% ya wafanyakazi na kitengo cha finance kuhamishiwa Mauritius.

Binafsi sina taarifa rasmi juu ya mtikisiko huu ambao kama kweli upo inabidi serikali ufanye review ili kuona namna ya kusaidia mlipa kodi huyu mkubwa kabisa.

Kwa haraka hizi zinaweza kuwa sababu kubwa kabisa kuyumba kwa biashara ya TBL.

1) Udhibiti wa muda wa kuuza vinywaji
- Baa zote zimepigwa marufuku kuuza pombe hadi ifike saa 10 jioni na mwisho ni saa tano usiku. Hili katazo kiukweli litakuwa limeua sana mauzo. Serikali iangalie upya namna ya kurekebisha hili ikiwezekana kila halmashauri ijiwekee utaratibu kufatana na changamoto za maeneo yao.

2) Vyuma kukaza

Hili pia limechangia kutokana na kubanwa kwa fedha chafu zilizokuwa kwenye mzunguko ingawa isingeleta athari kubwa sana kama serikali isingejiongezea kitanzi cha muda wa biashara.

3) ...tunaweza kuongeza sababu zingine lakini ni vyema serikali ikaangalia namna ya kuokoa ajira za vijana wetu kwa marekebisho ambayo ni madogo tu.

Wazee wa vyombo tunategemewa na taifa kata maji kama mamba ..🤣🤣🤣
 
Inauma sana yani hata kikwete legelege na dhaifu approval rating yake hiko juu sana kuliko magufuli katika nyanja zote. Ni aibu sana yeyote kupimwa na Kikwete ukashindwa. Sikudhani kabisa hii inatuonyesha na kujidhihirisha wazi hata urais tu Juliana Shonza anauweza
 
Wakuu,

Kuna mbunge amesema TBL imepunguza 85% ya wafanyakazi na kitengo cha finance kuhamishiwa Mauritius.

Binafsi sina taarifa rasmi juu ya mtikisiko huu ambao kama kweli upo inabidi serikali ufanye review ili kuona namna ya kusaidia mlipa kodi huyu mkubwa kabisa.

Kwa haraka hizi zinaweza kuwa sababu kubwa kabisa kuyumba kwa biashara ya TBL.

1) Udhibiti wa muda wa kuuza vinywaji
- Baa zote zimepigwa marufuku kuuza pombe hadi ifike saa 10 jioni na mwisho ni saa tano usiku. Hili katazo kiukweli litakuwa limeua sana mauzo. Serikali iangalie upya namna ya kurekebisha hili ikiwezekana kila halmashauri ijiwekee utaratibu kufatana na changamoto za maeneo yao.

2) Vyuma kukaza

Hili pia limechangia kutokana na kubanwa kwa fedha chafu zilizokuwa kwenye mzunguko ingawa isingeleta athari kubwa sana kama serikali isingejiongezea kitanzi cha muda wa biashara.

3) ...tunaweza kuongeza sababu zingine lakini ni vyema serikali ikaangalia namna ya kuokoa ajira za vijana wetu kwa marekebisho ambayo ni madogo tu.

Wazee wa vyombo tunategemewa na taifa kata maji kama mamba ..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumerudia u communist kwa kiwango kikubwa . Washauri pia wamemuachia kama alivyosema siku anaongea na wastaafu Ikulu. Kwamba aachiwe hata akiboronga mtamuuliza akimaliza kipindi chake
 
Wakuu,

Kuna mbunge amesema TBL imepunguza 85% ya wafanyakazi na kitengo cha finance kuhamishiwa Mauritius.

Binafsi sina taarifa rasmi juu ya mtikisiko huu ambao kama kweli upo inabidi serikali ufanye review ili kuona namna ya kusaidia mlipa kodi huyu mkubwa kabisa.

Kwa haraka hizi zinaweza kuwa sababu kubwa kabisa kuyumba kwa biashara ya TBL.

1) Udhibiti wa muda wa kuuza vinywaji
- Baa zote zimepigwa marufuku kuuza pombe hadi ifike saa 10 jioni na mwisho ni saa tano usiku. Hili katazo kiukweli litakuwa limeua sana mauzo. Serikali iangalie upya namna ya kurekebisha hili ikiwezekana kila halmashauri ijiwekee utaratibu kufatana na changamoto za maeneo yao.

2) Vyuma kukaza

Hili pia limechangia kutokana na kubanwa kwa fedha chafu zilizokuwa kwenye mzunguko ingawa isingeleta athari kubwa sana kama serikali isingejiongezea kitanzi cha muda wa biashara.

3) ...tunaweza kuongeza sababu zingine lakini ni vyema serikali ikaangalia namna ya kuokoa ajira za vijana wetu kwa marekebisho ambayo ni madogo tu.

Wazee wa vyombo tunategemewa na taifa kata maji kama mamba ..🤣🤣🤣
Mpaka upewe taarifa rasmi wewe ni waziri wa mipango, fedha, viwanda, waziri mkuu au makakamu wa rais? Jitaje ili tukujuwe.
 
Wakuu,

Kuna mbunge amesema TBL imepunguza 85% ya wafanyakazi na kitengo cha finance kuhamishiwa Mauritius.

Binafsi sina taarifa rasmi juu ya mtikisiko huu ambao kama kweli upo inabidi serikali ufanye review ili kuona namna ya kusaidia mlipa kodi huyu mkubwa kabisa.

Kwa haraka hizi zinaweza kuwa sababu kubwa kabisa kuyumba kwa biashara ya TBL.

1) Udhibiti wa muda wa kuuza vinywaji
- Baa zote zimepigwa marufuku kuuza pombe hadi ifike saa 10 jioni na mwisho ni saa tano usiku. Hili katazo kiukweli litakuwa limeua sana mauzo. Serikali iangalie upya namna ya kurekebisha hili ikiwezekana kila halmashauri ijiwekee utaratibu kufatana na changamoto za maeneo yao.

2) Vyuma kukaza

Hili pia limechangia kutokana na kubanwa kwa fedha chafu zilizokuwa kwenye mzunguko ingawa isingeleta athari kubwa sana kama serikali isingejiongezea kitanzi cha muda wa biashara.

3) ...tunaweza kuongeza sababu zingine lakini ni vyema serikali ikaangalia namna ya kuokoa ajira za vijana wetu kwa marekebisho ambayo ni madogo tu.

Wazee wa vyombo tunategemewa na taifa kata maji kama mamba ..🤣🤣🤣
Huku t/himba tunakata maji kuanzia SAA kumi jion. Hadi. Kumi alfajiri ##mitaa ya CCM##
 
1) Udhibiti wa muda wa kuuza vinywaji
- Baa zote zimepigwa marufuku kuuza pombe hadi ifike saa 10 jioni na mwisho ni saa tano usiku. Hili katazo kiukweli litakuwa limeua sana mauzo. Serikali iangalie upya namna ya kurekebisha hili ikiwezekana kila halmashauri ijiwekee utaratibu kufatana na changamoto za maeneo yao.
Hii ipo practically, au?!!
 
Wacha kunifananisha na vitu vya kijinga.

Siku nitakayoacha mlango wazi makusudi ukute nimemuinamisha Mama yako namfirigua doggystyle ndiyo utakaponipa heshima yangu baba yako wa kufikia.
Hapa umekosea kumzalilisha mama yake mzazi
Au unapenda watu wakudhalilishie mama yako
 
Siku hizi bia zetu zimekua bora zaidi Serengeti light na Balimi ujazo mdogo
 
Hahahah Kiranga bana kumbe na hii sekta ya chumbani nawe upo duhhh

Ila bana nashangaa sasa hivi tena watu hawazitaki Kirikuu wanakunywa ile ya buku mbili. Kitu kingine nashangaa matangazo mbona hakuna na vipindi vya ku sponsor hii michezo badala yake ni hizi betting. Jana nashangaa nakutana na mpya inayoitwa,"SUPA TANO"
 
Uchumi unaangushwa na Jiwe, matangazo lazima yashuke.

Hizo habari za ku bet ni kuwala watu hela zao bila ku produce kitu. Kwa hiyo zitazidi tu.
 
TBL walikua wanabebwa na konyagi, viroba vimefungiwa mapato yamepungua. Naamini vitarudi tu siku moja
 
Hili katazo la watu kunywa asubuhi halitufai kanda ya ziwa. Sisi ni wavuvi wa Samaki, saa kumi ndio tunaingia kutupa kokoro zetu nyavu na wengine nyavu za dagaa. Tunazivua saa nne usiku adi saa sita. Tunalala saa saba, nane hadi saa mbili asubuhi. Ukiingia baa japo masaa mawili tu unakamatwa, eti unalewa muda wa kazi! Nani kakwambia nchi nzima wanafanya kazi mchana?. Ndio maana tunaitaji serekali ya majimbo ili tutunge sheria zinazoendana na mazingira yetu. Bia tulishasahau sasa ni komoni vichocholoni!. Viwanda visiyumbe kwa nini?.
 
Wakuu,

Kuna mbunge amesema TBL imepunguza 85% ya wafanyakazi na kitengo cha finance kuhamishiwa Mauritius.

Binafsi sina taarifa rasmi juu ya mtikisiko huu ambao kama kweli upo inabidi serikali ufanye review ili kuona namna ya kusaidia mlipa kodi huyu mkubwa kabisa.

Kwa haraka hizi zinaweza kuwa sababu kubwa kabisa kuyumba kwa biashara ya TBL.

1) Udhibiti wa muda wa kuuza vinywaji
- Baa zote zimepigwa marufuku kuuza pombe hadi ifike saa 10 jioni na mwisho ni saa tano usiku. Hili katazo kiukweli litakuwa limeua sana mauzo. Serikali iangalie upya namna ya kurekebisha hili ikiwezekana kila halmashauri ijiwekee utaratibu kufatana na changamoto za maeneo yao.

2) Vyuma kukaza

Hili pia limechangia kutokana na kubanwa kwa fedha chafu zilizokuwa kwenye mzunguko ingawa isingeleta athari kubwa sana kama serikali isingejiongezea kitanzi cha muda wa biashara.

3) ...tunaweza kuongeza sababu zingine lakini ni vyema serikali ikaangalia namna ya kuokoa ajira za vijana wetu kwa marekebisho ambayo ni madogo tu.

Wazee wa vyombo tunategemewa na taifa kata maji kama mamba ..🤣🤣🤣
Ulevi wa sasa ni kubet
Badala ya kutumia elfu mbili kwa kununua bia mtu anaona bora kuweka mkeka anaweza kubahatisha
 
Wanywaji bia tumekuwa wachache[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Back
Top Bottom