Interrogation room

Interrogation room

kisale wakisale

Senior Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
158
Reaction score
204
Habar wakuu vipi nahitaji kujua nani ambae amepitia kwenye hii room na jee vipi unavyowekwa kitimoto na wazee wakazi wakikuangalia na maswali yao ya mitego... Binafsi naionaga tuu kwenye movie vipi kuna mtu aliepitia hio process atupe japo dondoo
Dual-Visions-Stages_interrogation-room-300x225.jpeg
 
kawaida tu ukizoea,unakuwa kama upo home kwenye sofa sema kama ni ishu ya kuminywa ndio tatizo.


askari wengi wamezoea kuwekwa na wenzao sema raia lazima aogope
 
kawaida tu ukizoea,unakuwa kama upo home kwenye sofa sema kama ni ishu ya kuminywa ndio tatizo.


askari wengi wamezoea kuwekwa na wenzao sema raia lazima aogope
Hapa zoeleki hapo, body language, facial expression matters alot! Tatizo uhalifu haujifichi,kataa kubali!
 
Hapa zoeleki hapo, body language, facial expression matters alot! Tatizo uhalifu haujifichi,kataa kubali!

Nakubali, kama hujafanya kitu unakua na confidence ya hatari, nilishawahi hojiwa police asee aliniambia mwenyewe kwa kweli huusiki masna nilokua nipo clear kwenye kila kitu na maswali yake ya mtego aliishia kujivhanganya mwenyewe
 
Hiyo room kwa upande wa Polisi cjui inakuaje ila wazee wq eagle wings na TPDF usiombee uingie hizo room zao
 
Back
Top Bottom