Haya mazao sijui yupi asaidiwe

Haya mazao sijui yupi asaidiwe

koyola

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
2,644
Reaction score
1,749
Mkulima anapigiwa kelele anaumia hauzi kwa faida ni hasara, mfanya biaahara wa mazao nae anapigiwa kelele kuwa eti hapati faida ni hasara, mlaji nae analalamika bei juu hawezi kumudi bei ...hakuna mwenye nafuu labda mtu kati sijui tumuitaje kupata tafsili nzuri...na kwa hali hii vip malumbano yasiwepo, na kipi kifanyike kuondoa hao walalamikaji wengine abaki mmoja ambae mlaji ili ajimudu kuishi kwa kupata nafuu.
karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom