Startimes kupata mshindani zaidi ya Ting, Continental na Digitek?

Startimes kupata mshindani zaidi ya Ting, Continental na Digitek?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,318
Reaction score
12,824
Nimeona Mamlaka ya Mawasiliano imetoa mualiko wa opareta mpya wa visimbuzi...hii kwa mtazamo wangu nadhani itasaidia kuchochea ushindani katika soko angalau platforms za digital broadcasting zitakuwa nyingi mtu uchague unapopataka.
20181114_145503.jpeg
 
Iwe tu kama mitandao ya simu,kila mtu anachagua anapopataka
 
Kama nawaona dstv wakiileta gotv
Sidhani maana dstv inatosha kwa kila kitu. Wana uwezo wa kuziweka na kutenga local channels peke yake mtu azione kwa kulipia au free.
 
Back
Top Bottom