Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama ni kweli kabila gani Tanzania ni wabaguzi ? Dini gani ni wabaguzi ? Chama gani ni wabaguzi ? Rika gani ni wabaguzi ? Wanawake na wanaume nani wabaguzi ? Nk
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Yaani Nchi nyingi za africa reseach ni zero kabisa..ila wakenya mbwembwe pia zinawacost,,
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau ninaomba mnijuze athari za uingizaji wa mazao kinyume na taratibu na utoroshaji wa mazao kinyume cha taratibu. Mfano mzuri ki kahawa...wafanya biashara wanatorosha kahawa kwenda Ug..ni...
1 Reactions
2 Replies
683 Views
Wakuu kwema?! Nimefika hapa Miami Fl kama mwezi kwa ajili ya kuanza maisha mapya! Kama kuna Mtanzania yoyote ambae yupo hapa naomba anicheki PM tufahamaniane. Natanguliza Shukrani.
5 Reactions
189 Replies
22K Views
Katika kile kilichoelezwa kuwa ni kufanya kazi kwa mazoea, watendaji wa vijiji na kata, Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wameonywa kufanya kazi kwa mazoea. Akizungumza kwa hisia kali Mkurugenzi wa...
0 Reactions
1 Replies
637 Views
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mhandisi Tumaini Magesa ameahidi kuwarejeshea silaha baadhi ya wananchi walipopokonywa silaha zao miaka kadhaa iliyopita Hatua hiyo imetokana na malalamiko ya muda mrefu...
0 Reactions
1 Replies
760 Views
jaman naomba mwenye namba ya tanesco hawa EMERGENCY wa zone ya kinondoni kwani waya wa umeme umeanguka ni hatari sana na umeme haujakatika so nahisi zinaumeme hizi nyaya hapa chini.
0 Reactions
5 Replies
30K Views
Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda ameagiza kukamatwa wa watu 4 wakiwemo viongozi 2 wa chama cha ushirika cha Mnyahi na wakulima 2 kwa tuhuma ya kuchanganya korosho chafu wakati wa kuuza.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Aisee nimetimiza week now bila kupiga kilevi chochote, Maisha bila bia yanawezekana.. Namshkuru mungu sana kwa hili,maana ilikuwa hakuna weekend wala weekday,ilikuwa kila siku weekend. Now jioni...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mie sijapata ona kiongozi yeyote yule aliye serious katika ziara ya kikazi akaweka mambo ya kitoto na kisanii namna hii. Hivi mbona watu wanasahau kuwa usanii upo wakati wa kampeni na sio wakati...
14 Reactions
41 Replies
7K Views
Tukisimama majukwaani kwenye mikutano ya kisiasa kuhubia walalahoi walioko juani huku sisi tukiwa kivulini meza kuu na maji ya kununua na kupewa huduma za VIP.... Achana na ma VX yaliyotuleta...
18 Reactions
60 Replies
6K Views
Wadau nawaulizia wataalamu hao was tiba asilia ,miaka minne iliyopita walikuwa wanaendesha vipindi vyao redioni na kwenye TV na watanzania tulip wachache tulipenda kuwasikiliza sana wakitoa mada...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mpo poa wakuu. Wiki hii imekuwa wiki ya majanga sana kwangu. Nimejikuta nikiwa na presha huku tumbo likiwaka moto. Mimi ni mfanyabiashara mdogo. Najishuhulisha na biashara ya saloon ya kiume...
8 Reactions
33 Replies
5K Views
Huyu MTU anaeitwa basil romanus nchimbi ni nani nchi hii naomba kwa yeyote anayemfahamu plz
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Whats up guys! As the heading above expresses itself, this place can no longer regarded as a place where people with different views and opinions can interact and express what they have openly. In...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Ningependa kuanza kwa kukaribisha povu la aina yoyote maana hapa nitawagusa Wasomi wa UDSM na wanasiasa wa chama flani. Mimi nimeshangaa kuona Rais akisema Tunakuja kushare profit 50/50 na...
40 Reactions
105 Replies
15K Views
Angalieni Picha Inajieleza Bwana
0 Reactions
3 Replies
3K Views
PAAAAAMBEEE shoga unaringia kujua kupika wali wa nazi wakati kuyatumia machicha yake huwezi, haloooo eeeeehhhh! Hebu usinikaushe uzazi miye na umbo lako kama mkate wa boflo! Shoga mahaba ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna wakati iliwahi kusemwa kuwa noti za fedha za Tanzania zina ubora mdogo ndio maana zinachafuka sana, na pia zinaachwa kwenye mzunguko muda mrefu ndio maana zinazeeka sana. Hata hivyo...
2 Reactions
64 Replies
8K Views
Wadau naombeni msaada wa kuingia kwenye app ya ITV kupitia simu ya mkononi. Nimefanikiwa ku download ila najaribu kuifungua haifunguki. Natanguliza shukurani. Wasalaam. Mwenzetu
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…