Tulioficha fedha nje ya nchi tujiandae

Tulioficha fedha nje ya nchi tujiandae

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,050
Reaction score
61,376
Kwa speed hii ya Magufuli kudhibiti rushwa na ufisadi wale wenzangu tulioficha hela chafu tuwe chonjo.ole wenu maana Magufuli anakwenda kuwanyosha kwa namna yoyote ilmradi akizibana hizo hela ziingie kwenye miradi ya maendeleo kusaidia wenye nchi.magufuli ukimaliza reli ya dar to mwanza.jenga na ya kisasa ya kwenda mikoa ya kaskazini.njoo kwenye viwanja Jenga viwanja vya ndege hata kila wilaya sisi mwananchi tupo tayari uyabane mafisadi yasiofika hata elfu tatu kwa ajili ya sisi wananchi million 50
 
Nikisoma thread kama hizi na kuangalia yanayotendeka nchini nataka kabisa kujiua. Really its better to commit suicide and die than living among bunch of certified fools
 
Mkuu utakuwa unakula hiyo miundombinu na ukoo wako? Afanye yote ila ajue anaongoza watu siyo mbuga ya wanyama
 
Et tulioficha...wewe unapesa gan za kuficha. Au mchawi mmoja tu umekuja kupiga zogo
 
Kwa speed hii ya Magufuli kudhibiti rushwa na ufisadi wale wenzangu tulioficha hela chafu tuwe chonjo.ole wenu maana Magufuli anakwenda kuwanyosha kwa namna yoyote ilmradi akizibana hizo hela ziingie kwenye miradi ya maendeleo kusaidia wenye nchi.magufuli ukimaliza reli ya dar to mwanza.jenga na ya kisasa ya kwenda mikoa ya kaskazini.njoo kwenye viwanja Jenga viwanja vya ndege hata kila wilaya sisi mwananchi tupo tayari uyabane mafisadi yasiofika hata elfu tatu kwa ajili ya sisi wananchi million 50
Hawezi kuthubutu na akitubutu atachambua walengwa tu.......... Hivi kati ya wale wote waliokuwa wakitajwa tajwa ni nani mpaka sasa amefikishwa kwenye mahakama ya mafisadi? Master planner wa kila zama za upigaji mzee a vijisent mpaka leo anapeta tu
 
Cheeeefuuuuuuu......
Kwa speed hii ya Magufuli kudhibiti rushwa na ufisadi wale wenzangu tulioficha hela chafu tuwe chonjo.ole wenu maana Magufuli anakwenda kuwanyosha kwa namna yoyote ilmradi akizibana hizo hela ziingie kwenye miradi ya maendeleo kusaidia wenye nchi.magufuli ukimaliza reli ya dar to mwanza.jenga na ya kisasa ya kwenda mikoa ya kaskazini.njoo kwenye viwanja Jenga viwanja vya ndege hata kila wilaya sisi mwananchi tupo tayari uyabane mafisadi yasiofika hata elfu tatu kwa ajili ya sisi wananchi million 50
 
Kwa speed hii ya Magufuli kudhibiti rushwa na ufisadi wale wenzangu tulioficha hela chafu tuwe chonjo.ole wenu maana Magufuli anakwenda kuwanyosha kwa namna yoyote ilmradi akizibana hizo hela ziingie kwenye miradi ya maendeleo kusaidia wenye nchi.magufuli ukimaliza reli ya dar to mwanza.jenga na ya kisasa ya kwenda mikoa ya kaskazini.njoo kwenye viwanja Jenga viwanja vya ndege hata kila wilaya sisi mwananchi tupo tayari uyabane mafisadi yasiofika hata elfu tatu kwa ajili ya sisi wananchi million 50
Nyie Masikini milioni 50 siku hizi mnakula supu asubuhi,mchana pilau,usiku michemso mbali mbali.BABA ALISEMAGA KUWA MASIKINI TUNAONGOZA KWA ROHO MBAYA NA NDIYO MAANA TUNAZIDI KUWA MASIKINI.
 
Kwa speed hii ya Magufuli kudhibiti rushwa na ufisadi wale wenzangu tulioficha hela chafu tuwe chonjo.ole wenu maana Magufuli anakwenda kuwanyosha kwa namna yoyote ilmradi akizibana hizo hela ziingie kwenye miradi ya maendeleo kusaidia wenye nchi.magufuli ukimaliza reli ya dar to mwanza.jenga na ya kisasa ya kwenda mikoa ya kaskazini.njoo kwenye viwanja Jenga viwanja vya ndege hata kila wilaya sisi mwananchi tupo tayari uyabane mafisadi yasiofika hata elfu tatu kwa ajili ya sisi wananchi million 50
Uthenge huu
 
Nikisoma thread kama hizi na kuangalia yanayotendeka nchini nataka kabisa kujiua. Really its better to commit suicide and die than living among bunch of certified fools
shabaash,punguza kidogo ukali wa maneno mkuu!kuna mikahawa naona Ina jina lako la Zamani aisee,ni yako?Ni burger point wanaita,na bar pia
 
Shida yako kijana unaonekana umekulia ktk mazingira ya umaskini uliotepeta na hali hii imekufanya uwe na roho mbaya ya kwanini kuna watu wanacho na hujishughulishi kujua walipambana vipi kufika walipo instead akili zako zinakutuma kwamba lazima waliiba!

Wanasiasa wa Kitanzania wamekuharibu kwa kukunyima elimu bora na hata ile mbovu uliyobahatika kuipata haijakusaidia coz haijaweza kukuajiri bado na wewe hujiulizi mbona hupewi ajira unabaki kushangilia kauli za kijinga za hao hao wanaokunyima haki zako za msingi wakiwasema wale waliokataa utumwa wa kuajiriwa na kujiajiri kwa akili zao hata kufikia mafanikio ambayo nyie vilaza msiojua jinsi ya kuifanya 10,000/= izae 100,000/= au 1mill izae 10mill muishie kusema wameiba.

Wameiba wewe una ushahidi gani?Kama wezi sasa mbona bado wapo mitaani?kijana jishughulishe haya mambo unakaa kushangilia shangilia siasa zisizokuwa na kichwa wala miguu utakuja kuumbuka.
 
Back
Top Bottom