Je, ni kweli watoto huwa wanawaona wachawi au watu wabaya..?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,586
15,368
Kuna dada anahadithia,
Mtoto wake huwa halii mara kwa mara ila baada ya mama mmoja kuja kuwatembelea, mtoto kalia kama kaumwa nyoka, kila akimuangalia analia sana, tena kwa hofu na wasiwasi mkubwa.

Binafsi nilisisitizia kuwa wenda ameaona sura ngeni tu, ila bado dada huyo haamini kama yule mama alikuja kiusalama.

Wakuu hizi hisia huwa zinahisia zanukweli ndani yake au mbwembwe zetu tu za huku uswazi maana huko kwa watu wazito hizi kesi huwa hazipo.
 
Ukiweza ku prove watoto wanaona mambo ya maajabu na mimi nitafanya unachokitaka right away.
Unataka ligi tu. Kama huwezi prove wewe ni mwanadamu basi achana na mambo ya prove, yaache jinsi yalivyo kama hayakuadhiri.

Kama huwaoni, wenzako wanawaona. Shida ni wewe kutokuona, sio kitu kutokuwepo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom