Hawa Vodacom wanazingua sana

kwa-muda

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
1,163
2,223
Hii mitandao ya simu kweli inasumbua. Toka jana kama ulikuwa umehifadhi pesa yako M-Pawa huwezi kuitoa, utaitazama tu lakini huwezi kuitoa. Ukiwapigia voda unaambiwa ooh kuna matatizo subiri saa 72.
Hivi wataalam wa haya makampuni yetu uwa wanafanya kazi gani maana financial systems solution zake uwa zinabidi ziwe haraka watu waendelee na mambo yao. Facebook yenyewe ikitokea tatizo haichukui hata nusu saa inarudi hewani.
Lakini hapa kwetu eti unaambiwa usubiri saa 72 kutumia ela yako yani tunapangiana hata matumizi.
 
Kuna siku nilikua nakunywa pombe mida ya mchana,,defenda likaibuka maeneo yale wakanibeba nikachonga nao fresh niwapooze 20 la chap chap,pesa ipo m pesa napokunywa pana wakala kila nikibonyeza menu ya m pesa ina fail zaid ya mara tano...jamaa wakasema wewe huna pesa unacheza na sis twende kituon,bahati nzuri wakala ananijua akanidhamini 20 pale nikawapa wakasepa,baada ya masaa matatu ndio ikakubali
Sure mkuu kuna mtu humu juzi kaandika aliweka ela kutuma kwa ajili ya maandalizi ya msiba network ikazingua ikala kwake
 
Kuna siku nilikua nakunywa pombe mida ya mchana,,defenda likaibuka maeneo yale wakanibeba nikachonga nao fresh niwapooze 20 la chap chap,pesa ipo m pesa napokunywa pana wakala kila nikibonyeza menu ya m pesa ina fail zaid ya mara tano...jamaa wakasema wewe huna pesa unacheza na sis twende kituon,bahati nzuri wakala ananijua akanidhamini 20 pale nikawapa wakasepa,baada ya masaa matatu ndio ikakubali
Hii mitandao yetu siyo ya kuamini ela inayokufaa ni fiat money tu aisee
 
Hela yangu naweka bank na kwny pu.mbu. Toka niibiwe salio kwny mitandao ya simu mwaka juzi siweki tena pesa huko
Umenchekesha sana, hahaha mimi kuna viejisent vidogo vidogo navitupigiaga huko M-pawa ili ikija timia muda flani vinakuwa vimeshatimia ela ya kufanyia kitu flani ambacho uwa lazima kifanyika kila miezi 2-3
 
Sema tu ya kwenda kupata utamu kwenye uwanja wa fundi seremala.!!
 
Kuna siku nilikua nakunywa pombe mida ya mchana,,defenda likaibuka maeneo yale wakanibeba nikachonga nao fresh niwapooze 20 la chap chap,pesa ipo m pesa napokunywa pana wakala kila nikibonyeza menu ya m pesa ina fail zaid ya mara tano...jamaa wakasema wewe huna pesa unacheza na sis twende kituon,bahati nzuri wakala ananijua akanidhamini 20 pale nikawapa wakasepa,baada ya masaa matatu ndio ikakubali
Aisee...kweli siku ya nyani kufa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom