Wataalamu wizarani na mitaani ni mabingwa wa kukatisha tamaa vijana kuwekeza kwenye viawnda lakini pia hawana taarifa halisi juu ya soko la korosho. kwa kusoma hii article na iwapo mh Magufuri ataaisoma na wataalamu wake na wakasiiamia kwa kasi basi korosho ya Tanzania haiwezi kosa soko..Shida tuliyonayo hatutaki kuwashirikisha watanzania au makampuni makubwa kuja kuwekeza kwenye kuongeza thamani ya koroho hapa kwetu.Kwa taarifa zaidi soma hii article ya Farhad juu ya korosho .Article hii inataarifa nzuri ya uzalishaji na fursa za korosho Tanzania.