IKIWA MWENYE HAKI AKIOKOKA KWA SHIDA, MWENYE DHAMBI ATAONEKANA WAPI?
Siku ile unapofanyika kuwa mtoto wa Mungu, yaani siku ile unayotubu kwa kuamua kabisa kuyasalimisha maisha yako kwa Bwana...
Ndugu,mimi ni mwanafunzi niliyemaliza chuo st Augustine mwanza campass 2017 baada ya kumaliza chuo nilibaini kwamba cheti changu cha chuo kimekosewa majina.
Nikafanya taratibu zote kufaikisha...
Ndugu zangu mwenzenu mwez august nilikopa kwa kijana mwenzangu tsh 200,000 ili nifanyie biashara kwa ahadi ya kumrejeshea baada week chache lakini kwa bahat mbaya mambo yameniendea vibaya sana...
Naomba kuwasilisha dukuduku langu la mda mrefu ambalo imekua kasumba katika halmashauri zetu na hili linamkwamisha sana mheshimiwa rais katika jitihada zake za kutunyoosha.
Manispaa ya Temeke...
Duniani mtu haitakiwi ujiulize utafia wapi. ila cha msingi inabidi ujiulize siku ukifa utakumbukwaje.
Leo ktk pita pita zangu nimekutana na hiyo picha na nimependa jinsi alivyo kumbukwa na...
Salam wanajamvi;
Natumai kuna waliotazama mechi za weekend hii iliyoisha jana. Je, kuna walioelewa maana ya rangi zilizowekwa kwenye vitambaa vya nahodha(Captains), kamba za viatu na mipira...
Meya wa Jiji la Dar es salaam, Isaya Mwita jana Jumamosi Desemba Mosi, 2018 alikamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ambapo kwa mujibu wa ripoti anaendelea kushikiliwa hadi...
Nianze kumshukuru kwa dhati kabisa Mhe. Rais wa Jamhuri wa Tanzania kwa kuwarudishia Wananchi wa Vijiji sita vinavyozunguka shamba la Utegi. Ndugu zangu mnyonge mnyongeni lakini haki ya mpeni...
Hivi inakuwaje wenye grocery/pub/mabar mnaruhusu watoto wa primary kujazana kwenye hivi vimashine vya kamari vya kutumbukiza mia mbili mbili ilihali mkijua wako under age? Pesa ya kula mihogo na...
Waziri wa Elimu Zanzibar, Riziki Pembe Juma amefuta mitihani yote ya kidato cha pili iliyokuwa imeanza leo Desemba 3 visiwani humo
Uamuzi huu umechukuliwa kutokana na kubainika kwa udanganyifu
Hizi tabia za kimama zimekithiri sana miaka hii, mara mnamwagiwa maji, mara sijui Tope,bila kujali wengine wana documents/Devices muhimu mifukoni. Huu si umaandazi na uMama ulio Tukuka...
Kama heading inavyojieleza.Nimepata kibarua katika H/Wilaya ya Kyerwa naomba kujua fursa na changamoto zilizopo Wilayani pale ndg zanguni.Naomba kuwasilisha kwenu kwa Maoni na mapendekezo.
Wanajamvi habari za mida poleni na uchovu na maumivu yanayotokana na changamoto za awamu ya viwanda
Ndugu zangu wanajamvi Mimi ni kijana mtanzania mwenzenu nipo chuo mwaka wa tatu sasa nasoma...
Habari wanajamvi naomba mwenye idea ya safari kwenda zimbabwe nataka kwenda kwa basi la takwa naenda kibiashara kuna mtu mmoja wa hilo basi kaniambia safar ni ya siku tatu kwa basi je,
1:kuna...
Salaam Waungwana!
Nina shida ya kiofisi na watu wa Metropolitan Insurance. Kama kuna yeyote mwenye namba ya simu ya mkononi ya mtu wa hapo Metropolitan; tafadhali naomba msaada wa hiyo namba...
Moja ya mambo muhimu na ya msingi kwenye habari ni pamoja na kumfahamu anaetoa habari/chanzo cha habari...lakini imekuwa tofauti kwenu TBC1 kwenye taarifa zenu za Habari mnatuonyesha picha tu za...
Hari sii shwari jijini mbeya, maeneo ya mwanjelwa, hii nibaada ya mkuu wa mkoa wa mbeya kuwataka wamachinga kuindoka katika maeneo wanayofanyia biashara kuyahama na kuhamia maeneo rasmi...
Ni muhimu madereva na watumiaji wengine wa barabara kuzingatia na kufuata sheria za matumizi ya Barabara.
Ni muhimu pia kwa Askari wa barabarani hususan ktk barabara kubwa yaani HIGHWAYS kutendea...