Ulaya ngoma ngumu. Msaada kwa ambao wapo Europe

kamarah1320

JF-Expert Member
Dec 2, 2018
294
296
Nipo Germany mwaka huu sasa bado mambo nimazito so nilikuwa naomba msada kwa wote waliopo sweden,norway,finland!!namna ya kufika huko,,,,,,,kwenu wakuu
wassalam!!!
20180611_193641.jpeg


maana jama saiv wamekaza sana hapa. Makaratasi yanazingua
 
maana jama saiv wamekaza sana!!!hapa
Mkuu kote ulaya sasa hivi ni ngumu kama ujawekwa kwenye system social security number. Huwezi kuwa na benk account, huwezi kupanga nyumba na huwezi kufanya kazi. Utakuwa ulaya jina tu. Nawaona wenye makaratasi ya spain na Italy wanashida sana licha ya kuhodh italian docs wanakuwa deported. Siyo rahis wengi wanavyodhan ukitinga tu ulaya hata na visiting visa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom