bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,999
Hali ya hewa hapa imekuwa ya Joto kali kuliko tulivyozoea,
Hali hiyo imesababisa watalii wengine hapa kutembea huku wamevaa viboksa tu, kwa upande wa Wana wake wa kizungu wanavyovaa kutokana na hili joto ni kama hawajavaa nguo.
Kwa siku mtu mmoja anaweza kunywa ndoo kubwa ya maji na anamaliza