Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,475
- 11,674
Kwanza salam ziwafikie huko mliko..
Natumai mnaendelea vema na kazi ya ujenzi wa taifa.
Kutokana na haya yanaondelea kati yenu na wasanii na hivi karibini na kusababisha minong'ono mkionekana wababaishaji.. Imebidi nitoe wazo langu litalosaidia kutenda kazi kwa ufanisi zaidi
Mnaonaje mkiweka utaratibu mpya kwamba kila msanii kabla hajatoa kazi yake lazima kwanza aiwasilishe kwenu nanyi mteue team maalum kaa ajili ya uhakiki wa hizi kazi.. Na ikiwa zimekidhi vigezo mnampa go on akaachie kwa hadhira.. Ama laa haijakidhi vigezo ikiwemo vya kimaadili mnaweza muonyesha ni wapi akarekebishe au kama haifai arudie upya?
Na je mnanonaje ikitungwa sheria dhidi ya wale watakaokiuka taratibu kuwajibishwa?
Mfano msanii kaachia kazi bila kuileta kwenu kwa uhakiki au mlimuagiza akaondoe kipengele fulani ama kurudia upya na badala yake akaenda kinyume na maagizo?
Huu utaratibu mpya uhusishe kazi zote za sanaa kwa ujumla.. Filamu na maigizo.. Uchoraji muziki wa aina zote, nk.
Napendekeza kutokana na hali halisi inayotokea katika utendaji wenu. Yani mpaka msikie kelele kutoka kwa wananchi kwamba hiki kitu hakifai ndipo mnagutuka kuchukua hatua while its too late.
Kwanini nyie msiwe wa kwanza kabisa kugundua kasoro kabla ya hadhira?
Faida yenu haionekani kwa huu utendaji wenu.. Mfano wimbo wa snura unaoitwa chura ulitoka mda sana.. Audio na video ziko kila mahali mkakimbilia kuufuta youtube eti arudie upya wakati mamia ya watu wana audio na video kwenye simu.. Mmefanya nini?
Wimbo wake wa nimevurugwa ulipigwa sana kwenye media baada ya miezi michache mnakuja kumpiga ban eti anakata mauno kupitiliza.
Mfano mwinfine nj wimbo wa kibamia wa rostam, nampa papa wa gigi money, haleluya wa diamond na wakawaka. Nyimbo zimehit sana kwenye media.. Promo ya kutosha na youtube wana viewers wa kutosha.. Hadi show wamwpiga sana.. Mnakurupuka oh tumeamua kuzifungia... Serious????
Nyimbo zipo mpaka midomoni mwa watoto..video zimezagaa..labda lengo lwnu ni kuzuia shoo tu
Ina maana gani kusubiri kitu mpaka kinaleta madhara hadi mkisikia kelele za watu ndo mnagutuka kuchukua hatua? Ilhali mna mamlaka na nguvu ndani ya uwezo wenu kuepusha hilo
Wimbo na video zake vimeshavuka mpaka mpaka nchi za jirani... Inasaidia nini?
Movies zinafanyiwa uhakiki na kuwekewa parental guidance.. So mtu anajua kabisa kama kitu kitaxhoonekana ni sahihi kwa mtoto mlengwa au la.. Je audip za matusi dj kabla ya kupga mziki either harusini au redioni atangaze '"parental guidance... Watoto chini ya miaka 18 watoke nje au wazibwe masikio?
Vipi kwenye simu?
Diamond platnumz na rayvany walitoa utetezi wa kitoto sana kuhusu wimbo wa mwanza eti hadhira yao lengwa ni miaka 18 wanaohidhuria kwenye show.. Vipi hivo vingine?
Kama mnaweza kufanyia kazi huo ushauri ni sawa.. Tufikirie watoto wwtu tunawapeleka wapi..
Maamuzi ni yetu kuamua tuwaachie hazina gani watoto wetu.. Hata kama kazi ya sanaa inahitaji kwenda na wakati uliopo.. Iende kistaarabu!
Aggy.