Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
Bei za mafuta ghafi katika soko la Dunia zimekuwa zikiongezeka mwezi hadi mwezi kutoka Dola 75 kwa pipa, mwezi Julai 2018 hadi kufikia Dola 81 kwa pipa, mwezi Oktoba 2018.
Mwenendo wa bei za mafuta masafi nao umekuwa ukilingana na ule wa bei za mafuta ghafi, ingawa kwa viwango vya mabadiliko hutofautiana kutokana na gharama za kusafisha mafuta ghafi na tofauti za mahitaji ya mafuta husika ya Petroli, Dizeli au Mafuta ya Taa.
Tazama mchanganuo kwenye jedwali hili: