Nimetembea leo mitaa ya posta ,kariakoo,Daladala na ubungo kila mahali watu wanamzungumzia Ibrahim pasha kila kundi la watu unaloliona basi jina la Pasha linatawala na nyuso za wadau zikiwa na huzuni na wanalalamika.
Naombeni mnitoe tongotongo huyu pasha alikuwa msanii,diwani au ni nani maana nimeshindwa kuwauliza wadau maana kila mtu anaonyesha taswira ya huzuni na wakimzungumzia nimeogopa kuwakera na mwili wake utaagwa wapi?