Mwenye taarifa kamili ajali ya mwendokasi jana manzese

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Jana jioni nasikia imetokea ajali mbaya iliyopelekea roho za watu watatu waliokua mshikaki kwenye boda boda kugongwa na basi là drt mwendokasi na kupoteza maisha On the spot
Kutokana na ufinyu wa habari hasa TV local news siku hizi sijapata habari zaidi naomba mwenye details zaidi atujuze
 
Yale magari hayagongi, ni kama treni...
Labda kama lilitoka katika njia yake!
 

Ajali za barabarani zinamaliza watu kuliko magonjwa yanayopigiwa sana kelele.
 
Siku hizi naona bodaboda wanajiachia sana kwenye barabara za mwendokasi,huyo bodaboda kama amepona ana kesi ya kujibu
 
Back
Top Bottom