Mamlaka ya Hali ya Hewa(TMA). Special thread.

Mzingo

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
4,463
9,674
Kuna watu hufanya kilimo na shughuli nyingine kwa kufuata utabiri wa TMA. Hii ni mamlaka yenye majukumu ya kutueleza nini kinatarajiwa kutokea baada ya muda Fulani. Sasa naombeni popote mtakapowasikia hasa ndugu zangu mnaoangalia taarifa ya habari hadi mwisho,mtupatie updates ili tujue mwavuli unahusika au la kwa siku husika
 
TMA wametangaza kipindi cha miaka kadhaa ya njaa kama jiwe litaendelea kusimama nchini.
 
pia wametangaza kutakuwa na joto Kali hadi January ,kudinyana mchana ndio Basi tena
 
Back
Top Bottom