Watu mashuhuli waliotutoka 2018.Tuweke kumbukumbu

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,714
Wakuu,hebu tukumbushane kuwa duniani tunapita tu,hivyo tutendeane mema na tusameheane, kupitia list hii tutakayoitaja najua kuna matajiri,wazuri,wabaya,maskin n.k waliotutangulia,itupe chachu ya kuona duniani si mahali petu.
Binafsi nawakumbuka wachache,hebu taja na wewe

1.Masogange
2.George Bush
3.Kingunge, mr and mrs
4.Mzee Majuto
5.Koffi anani
6.
 
Tofautisha kati ya watu mashuhuri na watu maarufu....hao ni watu wawili tofauti...lkn naona ww kwenye list yako unachanganya changanya...hukusoma kiswahili....!!?
 
Goorge Bush,Koffi Annan na Kingunge hao ni watu mashuhuri....waliobaki ktk listi yako ni maarufu...
 
Watu mashuhuli waliotutoka 2018.Tuweke kumbukumbu

Wakuu,hebu tukumbushane kuwa duniani tunapita tu,hivyo tutendeane mema na tusameheane, kupitia list hii tutakayoitaja najua kuna matajiri,wazuri,wabaya,maskin n.k waliotutangulia,itupe chachu ya kuona duniani si mahali petu.
Binafsi nawakumbuka wachache,hebu taja na wewe

1.Masogange
2.George Bush
3.Kingunge, mr and mrs
4.Mzee Majuto
5.Koffi anani
6.

Mashuhuri not mashuhuli
 
Winnie Madikizela Mandela, Aretha Franklin, Stephen Hawking

Back
Top Bottom